Journal Pape..Umenyenyua mikono?

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,202
Reaction score
8,787
Mweka mabandiko maarufu wa hapa ndani anayekwenda kwa jina la JOURNAL PAPE amesalimu amri kwa mchokozi wake, na ameamua kuwaagiza mods wa'deactivate' kabisa ukumbi wake wa kutuma na kutumiwa PM's!
Na ikumbukwe jana alitoa malalamiko kuwa kuna mtu hapa ndani anamtukana sana katika pm!
Pole Mkuu, lakini unatukosesha wote mawasiliano ya ukaribu na wewe...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…