Joto Vs Uchafu/Usafi

Joto Vs Uchafu/Usafi

Kwakweli kwa hili JOTO la DSM alafu kama watu hawazingatii USAFI binafsi basi hao wanastahili kunyanyaswa kisaikolojia kwa kuwaambia maneno makali yanayoumiza.

Leo nimekutana na mtu ananuka beberu akasome mbele alafu kwenye makwapa hajanyoa nywele mpaka zimebadilika rangi zimekuwa kama ugolo mixer maziwa yani ni kinyaa aisee yani ni masikitiko aisee Kuna maswali unabaki kujiuliza huyu mtu hajishtukii unajikuta unakosa majibu. Kwa ule uchafu hata mbu hawezi msogelea

Na sitaki kuamini Kuna watu nguo za ndani wanavaa mpaka zivunde kwa JOTO hili la DSM lenye laana...

Kataa uchafu, uchafu ni tatizo la akili
Uchafu ni laana !![emoji56]
 
Nunua gari mkuu uepukane na hizo kero! Ila kwenye daladala hakuna namna vumilia hali zote
Hajazungumzia kero ya usafiri bali kero ya mtu kuwa mchafu.

Hivi mnasoma mada mkaelewa ama ni kukurupuka tu?

Ukinunua gari huwezi kukutana na watu wachafu kwenye masoko ama mikusanyiko ya watu wengi ambapo huwezi kuingia na gari?

Too pathetic.
 
Ndio maana nikiwa Daslam sipandi Daladala.

Mwez uliopita nilipanda daladala sas imejaz kias, akapanda mtu mkonon karibu na kiwiko ana kidonda kibichi kabisa hata hajakifunga. (Asili ya Jipu)

Alafu hatulii, muda wote anachezesha mkono.. mie nimekaa siti ya mwanzo kabla ya dirisha hivy aliposimama na mimi ninkaribu akichezesha kdg tu tyr kanipaka usoni au mdomoni kabisa.

Kumwambia siwezi naona kama nitamnyanyapaa kumkwep pia siwezi nafas ndogo, bas naomba mungu tuu aniepushe.

Sasa hapo inabidi kutafakari.

Aliposhika kote
Akiwa anapanda au kushuka na ule mbanano lazima amguse mtu.
Pia ww unayepanda mbele kama yeye kashuka hutochukua tahadhari yoyote utashika tu kila sehemu kumbe tyr kashaacha maji maji ya jipu.

Na mbaya zaidi alikuwa anaegemea siti na ule mkono.

Tangia hiyo siku natembea na sanitizer muda wote napaka nikipanda hii miusafiri yetu sisi Maskini.
Uko sahihi kbsa NAMI ngoja ntaanza kutembea na sanitizer Kila sehem nitajilazimisha uwe utaratibu wangu sio kama kipindi Cha coronavirus tulivyolazimishwa
 
Huyo hawezi kuwa shoga,wewe unayenukia marashi huku unavuja mavi huna maana
Mim sijapaka marashi Nina miaka zaidi ya 10 na hata ningepaka hakuna tatizo kuwa nadhifu ,alafu itakuwa wew ndo shoga manake mada inahusu usafi binafsi wa mwili we unaleta mambo ya ushogana tukikuchunguza zaidi hapo marinda yametepeta Kila muda unatoa michuzi tu...kwamba baba Yako alivyokuwa anakusisitiza usafi naye alikuwa shoga?
 
Hajazungumzia kero ya usafiri bali kero ya mtu kuwa mchafu.

Hivi mnasoma mada mkaelewa ama ni kukurupuka tu?

Ukinunua gari huwezi kukutana na watu wachafu kwenye masoko ama mikusanyiko ya watu wengi ambapo huwezi kuingia na gari?

Too pathetic.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni ule ujinga wa wanaume kutooga au kupenda usafi eti ndo uwanaume..yani tena ukute mtu kavaa jezi za timu zetu hizi uwiiii ukipishana nae ni kama furnace la kuchomea taka za hospital anavyotema...
 
Ndio maana nikiwa Daslam sipandi Daladala.

Mwez uliopita nilipanda daladala sas imejaz kias, akapanda mtu mkonon karibu na kiwiko ana kidonda kibichi kabisa hata hajakifunga. (Asili ya Jipu)

Alafu hatulii, muda wote anachezesha mkono.. mie nimekaa siti ya mwanzo kabla ya dirisha hivy aliposimama na mimi ninkaribu akichezesha kdg tu tyr kanipaka usoni au mdomoni kabisa.

Kumwambia siwezi naona kama nitamnyanyapaa kumkwep pia siwezi nafas ndogo, bas naomba mungu tuu aniepushe.

Sasa hapo inabidi kutafakari.

Aliposhika kote
Akiwa anapanda au kushuka na ule mbanano lazima amguse mtu.
Pia ww unayepanda mbele kama yeye kashuka hutochukua tahadhari yoyote utashika tu kila sehemu kumbe tyr kashaacha maji maji ya jipu.

Na mbaya zaidi alikuwa anaegemea siti na ule mkono.

Tangia hiyo siku natembea na sanitizer muda wote napaka nikipanda hii miusafiri yetu sisi Maskini.
Daaah mm ningempisha akae yeye ili asije akanipakaza usoni uwii...
 
Ni ule ujinga wa wanaume kutooga au kupenda usafi eti ndo uwanaume..yani tena ukute mtu kavaa jezi za timu zetu hizi uwiiii ukipishana nae ni kama furnace la kuchomea taka za hospital anavyotema...
Uko Sahihi kbsa alafu Kuna wajinga wengine wanatetea huu upuuzi
 
Back
Top Bottom