Ifumange JF-Expert Member Oct 21, 2016 902 1,071 Jan 24, 2017 #2 Una hatari yaani unachaji simu ikiwa kwenye pochi kwann lkn?
Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Jan 24, 2017 #3 Hahaha!!Mkuu unachaji wallet ili ijae minoti au?
ndege JOHN JF-Expert Member Aug 5, 2015 21,319 50,533 Jan 24, 2017 #4 Bangi ya wapi hio? Niazime na mimi nivute inibangue
busy bees JF-Expert Member Aug 26, 2016 2,249 1,340 Jan 26, 2017 Thread starter #5 Ifumange said: Una hatari yaani unachaji simu ikiwa kwenye pochi kwann lkn? Click to expand... Itazame vzuri picha utaelewa mkuu
Ifumange said: Una hatari yaani unachaji simu ikiwa kwenye pochi kwann lkn? Click to expand... Itazame vzuri picha utaelewa mkuu
busy bees JF-Expert Member Aug 26, 2016 2,249 1,340 Jan 26, 2017 Thread starter #6 ydn said: Hahaha!!Mkuu unachaji wallet ili ijae minoti au? Click to expand... yaani ni majanga .... ktk mji wa sepuka
ydn said: Hahaha!!Mkuu unachaji wallet ili ijae minoti au? Click to expand... yaani ni majanga .... ktk mji wa sepuka
Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,660 58,999 Jan 27, 2017 #8 Aisee hivi bangi mjue wakati mwingine hata ibilisi anaogopa
busy bees JF-Expert Member Aug 26, 2016 2,249 1,340 Jan 27, 2017 Thread starter #9 Saint Ivuga said: Aisee hivi bangi mjue wakati mwingine hata ibilisi anaogopa Click to expand... Bangi ya mchana wa jua la utosi
Saint Ivuga said: Aisee hivi bangi mjue wakati mwingine hata ibilisi anaogopa Click to expand... Bangi ya mchana wa jua la utosi
busy bees JF-Expert Member Aug 26, 2016 2,249 1,340 Jan 27, 2017 Thread starter #10 ydn said: Hahaha!!Mkuu unachaji wallet ili ijae minoti au? Click to expand... Matokeo ya "joto" linapozidi hadi mifuko ya suluari kuungua
ydn said: Hahaha!!Mkuu unachaji wallet ili ijae minoti au? Click to expand... Matokeo ya "joto" linapozidi hadi mifuko ya suluari kuungua
Chiwaso JF-Expert Member Oct 21, 2009 5,726 3,762 Jan 27, 2017 #11 Ifumange said: Una hatari yaani unachaji simu ikiwa kwenye pochi kwann lkn? Click to expand... iko empty, anaiload moto.
Ifumange said: Una hatari yaani unachaji simu ikiwa kwenye pochi kwann lkn? Click to expand... iko empty, anaiload moto.
Chiwaso JF-Expert Member Oct 21, 2009 5,726 3,762 Jan 27, 2017 #12 busy bees said: yaani ni majanga .... ktk mji wa sepuka Click to expand... Kule Ndago sio?