Joto la Dar ni shida kama vile Darful

Joto la Dar ni shida kama vile Darful

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
12,212
Reaction score
23,258
Hii hali ya joto haivumiliki;

Na usiombe msoto huu wa joto uambatane na njaa au mafua makali.

Unaweza kuwa kichaa hivihivi!!!

Na ndiyo maana ukiangalia takwimu za polisi, matukio ya kikatili ni mengi sana kipindi cha joto na report za ndoa kuvunjika ni kubwa sana!
 
Kulingana na Ripoti ya Uchunguzi ya Nne ya IPCC, "kati ya maongezeko ya vipimo vya joto vya wastani duniani tangu katikati ya karne ya 20 huenda ikawa ni kwa sababu ya ongezeko tunaloliona la wingi wa gesi ya hewaukaa inayotokana na binadamu". Inatibiriwa kuwa mabadiliko ya hali ya anga katika siku za usoni yatahusisha ongezeko la joto duniani zaidi, kupanda kwa kiwango cha maji baharini, na uwezekano wa kupanda wa wingi wa matukio ya hali mbaya ya hewa.
Msongamano wa vyombo vya moto, ujenzi holela na ukwepaji upandaji miti unaongeza kiwango cha joto siku had siku
 
Hii hali ya joto haivumiliki;

Na usiombe msoto huu wa joto uambatane na njaa au mafua makali.

Unaweza kuwa kichaa hivihivi!!!

Na ndiyo maana ukiangalia takwimu za polisi, matukio ya kikatili ni mengi sana kipindi cha joto na report za ndoa kuvunjika ni kubwa sana!
mi 5 tena ni kasi ya awamu ya tano, kama vp serikali itoe tamko, au waandaliwe wale wakushukuru kwamba ni juhudi ya awamu ya 5
 
Hili joto linapiga sana hadi mfukoni yaani ni balaa, unakunywa maji glasi moja lakini unatoa kisado cha jasho
 
Ukijichanganya ukapanda daladala na ukwa upande jua lilipo utakoma yaan hata jua la saa mbili ni shidah
 
Hii hali ya joto haivumiliki;

Na usiombe msoto huu wa joto uambatane na njaa au mafua makali.

Unaweza kuwa kichaa hivihivi!!!

Na ndiyo maana ukiangalia takwimu za polisi, matukio ya kikatili ni mengi sana kipindi cha joto na report za ndoa kuvunjika ni kubwa sana!
Hapo kwenye ukichaa hapo nikikonect na Mh alieshindwa kuapa hili joto litatuua kwa kweli
 
Back
Top Bottom