Joto kali laua mamilioni ya samaki China

Joto kali laua mamilioni ya samaki China

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,302
Mamilioni ya samaki waliokufa wamepatikana kwenye ukingo wa mto wa Keelung ,Taiwan nchini China.
Kulingana na idara ya kulinda mazingira ya Taipei joto kali lilipunguza kiwango cha oksijeni ndani ya maji na hivyo kusababisha kufa kwa samaki hao.
Kumekuwa na joto kali kwa siku 16 hadi tarehe 29 Agosti likifikia nyuzi 36

upload_2017-8-31_13-50-35.jpeg


upload_2017-8-31_13-50-1.jpeg


upload_2017-8-31_13-49-39.jpeg
 
China na idadi yote hiyo ya Watu bado kuna Samaki wengi hivyo...nilitarajia kule kuna 'overfishing'

Hivi na kwenye Samaki nako kuna vibudu? kama hakuna watusogezee tu, ali mradi hawajauwawa na sumu.
 
Dah hao fish ni kutia kwa friza halafu maisha yanaendelea!
 
Wao si wanamchekea North Korea. Yale mataka taka yake anayofanya majaribio yana leta athari kubwa sana.
Sema ndio ivyo China, North Korea, Iran and Russia ni kama kikundi cha wabwia unga. Wanaona mwenzao kaanza kuchanganyikiwa wao wanabaki wanajifariji kwamba sisi hatutazidisha ulevi, kumbe athari yake aitegemei kwamba Umekula kidogo au kingi. Inategemea na kinga ya mwili wako.
Tutegeemee na matatizo makubwa yatakayoletwa na Kansa. Maana. Mionzi yake ni bampa tu bampa
 
Waleteni dampo lenu afrika huku

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Duh! Lazima soko la Afrika mchina ahakikishe linasaidia kumalizia hiyo mizoga

-Silasc-
 
Kama naona vile wanavyopakiwa kwenye makontena tayari kushushwa Kigamboni ferry
 
Back
Top Bottom