Lawrence Luanda
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 703
- 77
Nimependa alivyoachiwa_ila sijapenda maneno aliyoropoka,...ajifunze kufikiri kabla ya kusema.
utakuwa umekosea km ukiwa ni mwana CDM,WALE CHAKULA BARAFU WA Bagamoyo wapo siwa,AU HUJUI WALIKUWA NA RIZ1.Kusema rais atoke upande gani haimaanishi kuwa unakata kipande cha nchi hivyo haiwezi kuwa sawa na kusema wewe unakuwa rais wa jamuhuri ya meru
Tatizo kubwa ni kuchukuliwa baadhi ya maneno na kuanza kuhukumu na wengi wanaofanya hivyo wana malengo yao.Daaaa kuna haja ya kuepuka siasa za majitaka kuepuka ya lusinde,mbona hoja za kuwashinda magamba ziko kibao tuu life lenyewe sio!!!
Hebu tuhakikishie maana tuna hasira! tujue kama ni kweli huyu dogo alipiga simu yeye akiwa kama nani?baada ya Nasari kumaliza kuhojiwa na kuruhusiwa kuondoka..Riz1 alimpigia simu Isaya Mngulu na kumtaka amkamate Nassari ndipo nasari akapigiwa simu na kuambiwa arudi kituo cha polisi...
Huyu riz1 amekuwa akiwatumia sana polisi wa Arusha pamoja na mkuu wa mkoa wa Arusha...anadai anachafuliwa kufatia maelezo haya " Ridhiwani Kikwete anao marafiki wa kike anaowatambulisha kwa baba yake Rais Jakaya Kikwete ambaye huwateua kushika nyadhifa mbalimbali kutokana na ushawishi wake."Hebu tuhakikishie maana tuna hasira! tujue kama ni kweli huyu dogo alipiga simu yeye akiwa kama nani?
Mbwa ukimjua jina hakusumbui. Big up cdm
Ni kweli mkuu hata mimi sikuyapenda matamshi ya dogo, ila nilijua hii kesi siyo serious sana kwa vile matamshi yametolewa wakati akifanya siasa, ingekuwa serious case kama matamshi yange rekodiwa sehemu ya siri.
Ila viongozi wa CDM lazima wawe waangalifu sana kwa kila wanachofanya, wajue polisi huwa wanazitumia sheria effectively hasa wanapodili na kesi za CDM, siyo kwamba polisi inawaonea CDM la bali wanakuwa na double standard kwa kosa lile lile linalofanywa na mwana CCM.
Huyu riz1 amekuwa akiwatumia sana polisi wa Arusha pamoja na mkuu wa mkoa wa Arusha...anadai anachafuliwa kufatia maelezo haya " Ridhiwani Kikwete anao marafiki wa kike anaowatambulisha kwa baba yake Rais Jakaya Kikwete ambaye huwateua kushika nyadhifa mbalimbali kutokana na ushawishi wake."
Tatizo kubwa ni kuchukuliwa baadhi ya maneno na kuanza kuhukumu na wengi wanaofanya hivyo wana malengo yao.