mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 459
taarifa gani ikiwa ameacha kazi atafute kazi nyingine afanye wananchi wanamchagua mbunge si dereva wala msaidizi wa mbunge hao hawatuhusu cha muhimu ni je anawajibika kwa wapiga kura?
La kwanza, Wewe ni kada wa ccm eneo gani mkuu??
Pili, Umekua kama mchochezi flani hivi,,,ili kupata comments za wadau. Juzi uliandika "Wanaovaa nguo za
ccm wanazomewa Arusha" tukaa kimya. Tulikuwa Singida na Katibu Mkuu.
Leo unaleta tena swaga za Joshua Nassari sijui kafanya nini na nini??? Unatupima kutujua???
La mwisho, Uwe makini unapoleta uzi hapa JF, usipende kutafuta comment kutoka kwa watu! Mkuu naomba
nikueleze CCM ina wenyewe na CCM ilikuwepo kabla wewe hujazaliwa. Na sisi tutaiendeleza CCM miaka
mingi sana. Kama wewe ni member wa ccm kweli huwezi kuja na huu unafiki hapa.
Mandla, Kutoka Bungeni Dodoma.
Join Date : 15th December 2013Join Date : 1st January 2014
Eti na wewe ni kada wa ccm....nonesense!!!!
Unajua JF ilianza mwaka gani wewe??? Rudi Marangu ukajipange.
la kwanza, wewe ni kada wa ccm eneo gani mkuu??
Pili, umekua kama mchochezi flani hivi,,,ili kupata comments za wadau. Juzi uliandika "wanaovaa nguo za
ccm wanazomewa arusha" tukaa kimya. Tulikuwa singida na katibu mkuu.
Leo unaleta tena swaga za joshua nassari sijui kafanya nini na nini??? Unatupima kutujua???
La mwisho, uwe makini unapoleta uzi hapa jf, usipende kutafuta comment kutoka kwa watu! Mkuu naomba
nikueleze ccm ina wenyewe na ccm ilikuwepo kabla wewe hujazaliwa. Na sisi tutaiendeleza ccm miaka
mingi sana. Kama wewe ni member wa ccm kweli huwezi kuja na huu unafiki hapa.
Mandla, kutoka bungeni dodoma.
join date : 1st january 2014
eti na wewe ni kada wa ccm....nonesense!!!!
Unajua jf ilianza mwaka gani wewe??? Rudi marangu ukajipange.
mandla jr nadhani huna hati miliki ya ccm na kila kada wa ccm ana uhuru wa kimawazo na hili ni jukwaa huru.mosi humjui vema mmaranguoriginal wewe sio mwepesi kama unavyodhani. Uliza teamlowasa unatusikia juu juu tu.njoo hapa mbezi beach nikununulie mtura
wewe ni machicha ya mbege tu huna hati miliki ya ccm.nipo ccm toka mtoto skauti.hujui unapambana na nani wewe
Hivi ilikuwaje msomi kama Mwakiembe asijue UDA ipo wizara ya Uchukuzi?
Umechanganyikiwa?Join Date : 1st January 2014
Eti na wewe ni kada wa ccm....nonesense!!!!
Unajua JF ilianza mwaka gani wewe??? Rudi Marangu ukajipange.
Mkuu, kachanganyikiwa huyuUmechanganyikiwa?