Joshua Nassari kwa hili unastahili pongezi

Wewe ni wa kupuuzwa kama MAJESHI na RAMA.

Nani asiyejua kijiwe chako hapo Pub Norbeto.

Kwanza unadaiwa na benki,huna hela ya kulipa.

Nyumba ya dada yako Sombetini iliyokudhamini imeungua moto.

Sasa mwambie Mwigulu akulipie.

Mkuu acha kujitoa ufahamu. Nadhani unanifananisha sidaiwi mahali popote. Na sina dada mwenye nyumba sombetini.
 
njoo hapa usa river kwa donii unapajua?

nakuja hapo wakati naelekea kijijini marangu kuwapa hi wazee wangu na napata supu ya hapo na mneck julius mungure.ni karibu na kituo cha polisi mkuu nikitoka manyara nitakutaka tukutane wakati narudi dar gari yangu ni nadia nyeusi kote
 
Wanajamvi,

Pamoja na kwamba nipo CCM na ni kada mtiifu lakini mtu anapofanya vizuri huna budi kumpongeza ni tendo la mbunge wa Arumeru Mashariki ndugu Joshua Nassari kwa kuwanunulia mpira wa maji wenye mita karibu 1000 kwa shule ya sekondari X kwa kutoa maji toka mlimani na kuwavutia mpaka hapo shuleni na kupunguza wanafunzi wetu kuchota maji mtoni.

Pamoja na hilo amesimamia mradi wa barabara ya Sheela Singisi kwa kushirikiana na wananchi kuchimba hiyo barabara.

Pamoja na pongezi hizo naomba taarifa kuhusu katibu wako bwana Ndonde kwamba ameacha kazi na juzijuzi alikuwa Moshi kuomba kazi kwa kada mmoja wa CCM akanyimwa mara baada ya kujulikana ni CHADEMA.

Hongera na pia naomba majawabu na sio majibu.

hv ww nan amkufundisha kusifia wapinzan!? ngja nkakmwambie mzee kwa uhain uloufanya na unjua chama chtu tawala haturuhusu vijana kuona mbali na kusifia hovyohovyo mabadiliko ya ukweli uwe na adbu kijana la cvyo tutakuwajibisha dgo
 
hv ww nan amkufundisha kusifia wapinzan!? Ngja nkakmwambie mzee kwa uhain uloufanya na unjua chama chtu tawala haturuhusu vijana kuona mbali na kusifia hovyohovyo mabadiliko ya ukweli uwe na adbu kijana la cvyo tutakuwajibisha dgo

tehe tehe kwi kwi kwi umeona mkuu kuna makada wameingizwa kwenye ccm na wazazi wao hawajui sisi tulivokigania mpaka sasa tofauti na wao wanakipigania humu jf
 
mkuu acha kujitoa ufahamu. Nadhani unanifananisha sidaiwi mahali popote. Na sina dada mwenye nyumba sombetini.

mbowe alimposifia kikwete alipokuwa hai wakati wa uzinduzi WA BARABARA alifanya dhambi kubwa sana au ndio ukomovu wa kisiasa huo.msalani una siasa za kishabiki tofauti na za kujitambua kweli wewe ni kenge
 
Wewe ni wa kupuuzwa kama MAJESHI na RAMA.

Nani asiyejua kijiwe chako hapo Pub Norbeto.

Kwanza unadaiwa na benki,huna hela ya kulipa.

Nyumba ya dada yako Sombetini iliyokudhamini imeungua moto.

Sasa mwambie Mwigulu akulipie.

duuhhhhh!!!!! mnajuaje haya yote jmnii mambo yetu ya ndani mcyalete humu jmni tutaumbuana sasa
 
Back
Top Bottom