Joshua Nassari kwa hili unastahili pongezi

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
4,058
1,195
Wanajamvi,

Pamoja na kwamba nipo CCM na ni kada mtiifu lakini mtu anapofanya vizuri huna budi kumpongeza ni tendo la mbunge wa Arumeru Mashariki ndugu Joshua Nassari kwa kuwanunulia mpira wa maji wenye mita karibu 1000 kwa shule ya sekondari X kwa kutoa maji toka mlimani na kuwavutia mpaka hapo shuleni na kupunguza wanafunzi wetu kuchota maji mtoni.

Pamoja na hilo amesimamia mradi wa barabara ya Sheela Singisi kwa kushirikiana na wananchi kuchimba hiyo barabara.

Pamoja na pongezi hizo naomba taarifa kuhusu katibu wako bwana Ndonde kwamba ameacha kazi na juzijuzi alikuwa Moshi kuomba kazi kwa kada mmoja wa CCM akanyimwa mara baada ya kujulikana ni CHADEMA.

Hongera na pia naomba majawabu na sio majibu.
 
Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
16,554
2,000
....

......Tuliona mbalii.....

babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,145
2,000
Taarifa gani ikiwa ameacha kazi atafute kazi nyingine afanye wananchi wanamchagua mbunge si dereva wala msaidizi wa mbunge hao hawatuhusu cha muhimu ni je anawajibika kwa wapiga kura?
 
mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
4,058
1,195
taarifa gani ikiwa ameacha kazi atafute kazi nyingine afanye wananchi wanamchagua mbunge si dereva wala msaidizi wa mbunge hao hawatuhusu cha muhimu ni je anawajibika kwa wapiga kura?

hujui mchango aliotoa katibu wake katika kumkampenia nassari ,mimi ni shaidi wa hayo
 
Mandla Jr.

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
3,101
1,195
La kwanza, Wewe ni kada wa ccm eneo gani mkuu??

Pili, Umekua kama mchochezi flani hivi,,,ili kupata comments za wadau. Juzi uliandika "Wanaovaa nguo za
ccm wanazomewa Arusha" tukaa kimya. Tulikuwa Singida na Katibu Mkuu.
Leo unaleta tena swaga za Joshua Nassari sijui kafanya nini na nini??? Unatupima kutujua???

La mwisho, Uwe makini unapoleta uzi hapa JF, usipende kutafuta comment kutoka kwa watu! Mkuu naomba
nikueleze CCM ina wenyewe na CCM ilikuwepo kabla wewe hujazaliwa. Na sisi tutaiendeleza CCM miaka
mingi sana. Kama wewe ni member wa ccm kweli huwezi kuja na huu unafiki hapa.

Mandla, Kutoka Bungeni Dodoma.
 
Mandla Jr.

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
3,101
1,195
Join Date : 1st January 2014

Eti na wewe ni kada wa ccm....nonesense!!!!

Unajua JF ilianza mwaka gani wewe??? Rudi Marangu ukajipange.
 
vegas

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,044
2,000
La kwanza, Wewe ni kada wa ccm eneo gani mkuu??

Pili, Umekua kama mchochezi flani hivi,,,ili kupata comments za wadau. Juzi uliandika "Wanaovaa nguo za
ccm wanazomewa Arusha" tukaa kimya. Tulikuwa Singida na Katibu Mkuu.
Leo unaleta tena swaga za Joshua Nassari sijui kafanya nini na nini??? Unatupima kutujua???

La mwisho, Uwe makini unapoleta uzi hapa JF, usipende kutafuta comment kutoka kwa watu! Mkuu naomba
nikueleze CCM ina wenyewe na CCM ilikuwepo kabla wewe hujazaliwa. Na sisi tutaiendeleza CCM miaka
mingi sana. Kama wewe ni member wa ccm kweli huwezi kuja na huu unafiki hapa.

Mandla, Kutoka Bungeni Dodoma.

Inaonekana hajui kuwa kwenye chama chetu cha kijani uhuru wa maoni ni uhaini,hasa kupongeza jambo zuri linalofanywa na wenzetu wa upinzani. labda ni kada mpya hajajua taratibu za chama chetu tumvumilie.
 
mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
4,058
1,195
la kwanza, wewe ni kada wa ccm eneo gani mkuu??

Pili, umekua kama mchochezi flani hivi,,,ili kupata comments za wadau. Juzi uliandika "wanaovaa nguo za
ccm wanazomewa arusha" tukaa kimya. Tulikuwa singida na katibu mkuu.
Leo unaleta tena swaga za joshua nassari sijui kafanya nini na nini??? Unatupima kutujua???

La mwisho, uwe makini unapoleta uzi hapa jf, usipende kutafuta comment kutoka kwa watu! Mkuu naomba
nikueleze ccm ina wenyewe na ccm ilikuwepo kabla wewe hujazaliwa. Na sisi tutaiendeleza ccm miaka
mingi sana. Kama wewe ni member wa ccm kweli huwezi kuja na huu unafiki hapa.

Mandla, kutoka bungeni dodoma.

mandla jr nadhani huna hati miliki ya ccm na kila kada wa ccm ana uhuru wa kimawazo na hili ni jukwaa huru.mosi humjui vema mmaranguoriginal wewe sio mwepesi kama unavyodhani. Uliza teamlowasa unatusikia juu juu tu.njoo hapa mbezi beach nikununulie mtura
 
Mandla Jr.

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
3,101
1,195
mandla jr nadhani huna hati miliki ya ccm na kila kada wa ccm ana uhuru wa kimawazo na hili ni jukwaa huru.mosi humjui vema mmaranguoriginal wewe sio mwepesi kama unavyodhani. Uliza teamlowasa unatusikia juu juu tu.njoo hapa mbezi beach nikununulie mtura

Wana ccm tuna ofisi zetu...hapo mbezi beach ni ofisi ya tawi,kata au nini mkuu??

Then, Kama uko Dar mambo ya Arusha umeyaona vip mkuu????
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,869
2,000
Atakemewa na cha,a chake maana chenyewe kinakataza wananchi na viongozi wao kuchangia shughuli za kaendeleo
 
babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,145
2,000
Makada hawaaminiani Mandla jr hampendi Nasari Mmaranguoriginal anapenda Mafanikio ya nasari ila anampenda zaid Ndonde.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom