Kwa upande wake mgombea ubunge, Bw. Joshua Nassari, naye alimvaa Bw. Wassira kwa kauli yake ya kutaka wananchi wasimchague kwa kuwa hajaoa.
"Kwa kuwa wameniambia sijaoa, nitamuoa Halima Mdee (mbunge wa Jimbo la Kawe) ili wananchi wa jimbo hili wanufaike mara mbili, hivyo jimbo litakuwa na wabunge wawili," alisema.
Alisema anaomba Mungu usiku na mchana ili afanikiwe kumuona, Bi. Halima Mdee, ili akishinda ubunge wananchi wa Arumeru wawe na wabunge wawili, ambao watakuwa mke na mume.
Wewe huchelewi kukubaliana na maneno ya Kibajaji kuhusu Lema, Mbowe, Slaa na wanachadema. Nakushauri ya uchaguzi matokeo yakitoka achana nayo maana hata ahadi kwa wananchi zinakuwaga hewa
.Halima mkubwa sana kwa huyu mtoto lol
ila makubaliano yao wenyewe, yetu macho!
Halima Mdee ni mrembo kama wewe.Propaganda tu...
.acha wawowane tu.
Lowassa hawezi kukubali
lazima mwanae Pamela awe na mume mbunge
right now Siyoi atapigwa kibuti...Nassari atakabidhiwa Pamela...