mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
CCM mbona haijajenga kwa miaka 50?
kwan nasari ndio mkusanya kodi?
Kuna utafiti tunamalizia kuhusu utendaji wa Nassari miaka miwili baada kuwa mbunge wa Arumeru Mashariki, tutayaweka hapa JF soon. Mambo mengi yalishindikana tangu tupate uhuru 1961 ila yamewezekana kwa miaka miwili tu.
Kudos Joshua Nassari !
Wabunge wa CCM ndiyo hatari kabisa pamoja na mwenyekiti wao wameahidi Tanzania nzima.Ahadi walizotekeleza hata robo hawajafika walichofanikiwa kwa asilimia100 ni kuongeza deni la Taifa na kufikia trilioni40.Ahadi zingine wameshindwa kabisa kuteleleza wanasubiri mwaka 2015 ufike waje wazitumia kuwadanganyishia wananchi kuwa tuchagueni ili tumalizie kile kilichosalia.
mleta mada unajua nassari aliahidi visima vingapi??? na maeneo gani??? unajua ngare nanyuki ni sehemu ndoogo tu ya jimbo lake??? je umefika na maeneo mengine ukaona??? umefika wapi tena??? kwa utafiti wangu binafsi wa kutumia social media Nassari ni mmoja wabunge ambao ni mfano wa kuigwa na ningependa hata awe mbunge wa jimboni kwangu Kigamboni.
WANABODI, Nawasalimu nyote nilikuwa ngerenanyuki kwa ajili ya ziara za kichama za ccm tumekutana na matatizo mengi ya wananchi wa maeno yale kubwa haswa ni ahadi aliyotoa mbunge wao wa chadema kipindi cha kampeni kwa kuwajengea kisima lakini mpaka sasa hakuna kilichofanyika,hii ni hatari kwa hata viongozi wa upinzani kuwadanganya wananchi na kutoa ahadi hewa,nasari kuwa makini hili ni mtego kwako 2015,ukirudi tena ni ndoto tuombee MUNGU tusifike huko, kumbuka ni visima vingapi uliwahaidi wanameru na vile vya mzee ndesamburo.nawasilisha
Mkuu mbona visima vilichimbwa ila sample ya maji yana chloride nyingi sana hayafai kwa hiyo ni lazma maji ya chemchemu chini ya Idara ya maji ihusike sio kwa mtu mmoja ambae nguvu yake ni visima tu.