Joshua Jobs agency

Joshua Jobs agency

James 25th

Member
Joined
Feb 24, 2025
Posts
38
Reaction score
17
Habari!!

JOSHUA JOBS AGENCY, inapenda kwawashukuru wale wote ambao wameendelea kushilikiana nasi katika utoaji wa fursa za Ajira za mda mfu na mrefu kwa vijana mbalimbali nchini Tanzania kupitia (Joshua jobs Agency).

Tunaendelea kuwakalibisha wa Tanzania wote/Taasisi, wenye fursa mbalimbali za kazi kushiliki kwa vijana wa Tanzania kupia Joshua jobs Agency,

Tunamakundi yote ya vijana ikijumuisha wenye taaluma na wasiokua na taaluma, wenye ujuzi na wasio kua na ujuzi.

Hivyo, fursa yoyote uliyonayo itaenda kumgusa kijana mmoja wapo kutoka na Kazi husika.

Hii ni Tanzania nzima.

Kwa mwenye fursa ya Kazi HR/ makampuni/ watu binafsi, mnaeza kushiliki nasi Kwa mawasiliano.

Sim/sms : 0627776134
Whatsapp: 0714016639
Email: jamesjoshuaem@gmail.com
 
Back
Top Bottom