The Whistleblower
JF-Expert Member
- Dec 9, 2022
- 269
- 459
Alikuwa na pensi ya jeshi. Kwa hilo tu Huenda ilikuwa ngumu kuwaaminisha yeye hayuko Israel kwa shughuli za kijeshi.Kama ulifuatilia hilo tukio, basi utagundua kuna mamia ya watu kutoka Mataifa mbalimbali waliuwawa na wengine kutekwa na hao Hamas hiyo Oktoba 7!
Na wakulaumiwa hapa ni vyombo vya dola vya Israel kwa uzembe wao, na pia kwa kushindwa kuwalinda raia wasio na hatia dhidi ya hao wanangambo wa Hamas.
Tatizo lilianzia hapoAlikuwa na pensi ya jeshi. Kwa hilo tu Huenda ilikuwa ngumu kuwaaminisha yeye hayuko Israel kwa shughuli za kijeshi.
Ya kulaumiwa ni magaidi ya hamasKama ulifuatilia hilo tukio, basi utagundua kuna mamia ya watu kutoka Mataifa mbalimbali waliuwawa na wengine kutekwa na hao Hamas hiyo Oktoba 7!
Na wakulaumiwa hapa ni vyombo vya dola vya Israel kwa uzembe wao, na pia kwa kushindwa kuwalinda raia wasio na hatia dhidi ya hao wanangambo wa Hamas.
Nyau weweKama ulifuatilia hilo tukio, basi utagundua kuna mamia ya watu kutoka Mataifa mbalimbali waliuwawa na wengine kutekwa na hao Hamas hiyo Oktoba 7!
Na wakulaumiwa hapa ni vyombo vya dola vya Israel kwa uzembe wao, na pia kwa kushindwa kuwalinda raia wasio na hatia dhidi ya hao wanangambo wa Hamas.
Kaje magutwi ya isho.Nyau wewe
Mifi yako.Nengla ndangla ndani ya tumbo eee
Kayngay
Kumbe waliliwa ni wanajeshi wa esrael. Kila kitu kina mwanzo na mwisho.Ni Mtanzania, na Tanzania haina upande wowote kwenye siasa za kimataifa, na zaidi ya yote Palestina ina Ubalozi wake Tanzania.
Alienda kusoma Israel, na yeye akatekwa HAMAS walipoivamia Israel, kwenye Video iliyoenea kwenye mitandao ya kijamii, inaonyesha Joshua akilia huku akiwaomba msamaha HAMAS wasimuue, lakini walimuua kikatili kisha maiti yake wakaitupa na ikaokotwa na jeshi la Israel.
Joshua alikuwa akimiliki ardhi ya Wapalestina? Joshua alikuwa Askari mamluki aliyekamatwa akipigana vita Gaza? Joshua aliwahi kuua Wapalestina? Majibu ni hapana.
Joshua alienda kusomea kilimo, ndio magaidi ya HAMAS yakamteka pamoja na Raia wengine wakiwamo wa Israel.
HAMAS wana chuki na wa Israel tunajua, sasa Joshua aliwakosea nini hadi kumuua kikatili hivyo?
Nakulilia Joshua, hukuwa na hatia, halafu kuna mijitu pumbavu imejaa humu kisa Udini inashabikia ujinga ujinga.
Damu yako Joshua haijamwagika bure, ndio maana huko Gaza wanazidi kupukutika tu, watakuja kutahamaki na kukuta wamebaki elfu tano tu
God bless Israel, God bless America, God bless Tanzania.