Josephine Mshumbushi: CHADEMA ni mali ya Mtei, kimejengwa kwa misingi ya unafiki na nidhamu ya woga

Sasa mbona wameondoka na chama kimefanya vizuri kwenye uchaguzi uliopita kuliko kipindi alichogombea huyo mchumba wake
Aliefanya vizuri ni Lowasa sio Chadema mlijijua uwezo wenu ndio maana mkaamua kula matapishi yenu
 
mama Anasubiri mzee biashara iishe akwapue msaidizi wake. Wewe kufia chama kwa chadema unaona hatari kwa Ccm unaona salama.unayo shida, km mama. Ccm anaowaabudu awali mtoa simu na watamzeesha kwa kikao kuliko mrema. Hao wadai chama anawachukia kwanini wanatia aibu ? Uwepo wao ni proof kwamba wasaliti km yeye ndio wamesepa. Kumpoteza mzee sasa amwokoe.
Nyie ndio wasariti wakubwa.yaani mtu mlietuaminisha ni fisadi miaka 8 leo mnatuletea awe raisi?? Mungu mkubwa alituepusha na hilo.harafu 90%ya wafuasi wa chadema ni mazuzu sana.mnakalilishwa maneno na viongozi hata hamtumii ubongo.ndio sababu mi nagombana wa wanachama wenzangu kwa ujinga kama huo
 
Umbea unafiki...mwanamke kwa hasili aliumbwa kusaliti na maneno ya kinfki....sometimes when we travel in a bus we dont have a vusion of what driver has but we belief in him and we trust him becUse we know where we a heading...
 
Kwanza haya maneno mshumbushi hawezi kuandika, Sema kaandikiwa kacopy na kupaste, japo aliyosema ni kweli Lakini inatia shaka baada ya kutoka kwenye jumba la mfalme Ndio wanasema mabaya yake,
Sitaki kuwa mfuasi wa mwanasiasa yeyote nchi hii maana hawaaminiki hawa,
 
Kama umeamua kula nguruwe endelea zako mama mimi kamwe sitaipigia ccm goti bora niendelee mbele nisipopata upenyo basi. ...
 
Kama ni Josephine Mushumbusi kaandika haya kweli ni jambo la kusikitisha sana. Josephine hana moral authority ya kuandika haya. Yeye ni intrested party kwenye hatma ya Chadema namba moja kwa maana alitaka kuukwaa u-first lady lakini ukaota mbawa. Hivyo kwa akili ya kaiwaida hatutegemei aseme jambo lolote zuri kuhusu Chadema. Kama bado anautaka huo u-lady vyama vipo vingi ni kumwambia mme wake akajiunge. Pili sisi wengine tunapata taabu kuwaamini watu wanaoingilia ndoa za watu kana kwamba wanaume wameisha duniani. Hawaaminiki mpaka mwisho wa dahari.
 
Mama Mushumbushi, kujenga Chama is a process kama wewe ulivyojenga ndoa yako kipitia uchumba wenye misukosuko na Dkt Slaa, hadi kufikia kufunga ndoa ya mwendo kasi Canada.

Aidha kila zama na kitabu chake. Zama zenu za kucheza bumping na twist zimepita hizi ni nyingine!

Hata hivyo bandiko lako halina msaada wowote kwa mwanasiasa/kijana anaye chepukia CHADEMA. Umeandika malalamiko yako binafsi na uchungu iliokijaa moyoni. Hivi mumeo angepiyishwa kigombea ungeongea haya? Au huyo Mtei umemjua mwaka Jana?

Yako mengi sana sana ya kujutia chini ya Utawala wa CCM kuliko ya kulalamikia ndani ya CHADEMA.
 
Mahakama ya mafisadi inakuja.

Waambieni mafisadi waliojificha chadema wataumbuka
Hivi kama kweli ubongo wako hauna tofauti na kinyesi cha mbweha, kuna mafisadi wangapi walio nje ya ccm? Nakuhakikishia kwenye hiyo mahakama yako ya klishkaji tegemea kuwaona marais wako wastaafu na mawaziri wako waliopo na waliostaafu. Tegemea kuwaona wafadhili wa ccm na usitegemee kuwaona viongozi wa ukawa. Elewa lengo la hiyo mahakama ni kuwafundisha ccm maadili mema. Haya ongea tena.
 
Huyu mama vipi? Hivi mtu unaweza kuasisi chama na husiwe na kauli, anaposema TANU mtu aliyeshiriki kuiasisi ni lini halikosa kuwa na kauli ya mwisho? Hivi ni nani hasiyejua kuwa bila ya muasisi kuwa ndie mwenye kauli ya mwisho, je mkapa angekuwa rais? Bila ya muasisi kuwa na kauli ya mwisho Jumbe angeondolewa znbr? Kila mtu aliyeasisi kitu hawezi kubali kuona chama kikiongozwa kwa mawazo mbadala ya HAWARA na si muongozo wa chama. Ata baba wa taifa anayejaribu kumtolea mfano, alitutaadharisha kuwapa madaraka watu ambao ni wepesi kupokea mawazo ya wake zao na asubuhi kuyatekeleza ndani ya chama! Sembuse aliyepokea mawazo ya kimada na kususia majukumu na kwenda kuwaelezea hotelini wakati ofisi yake ipo na kuondoka ata pasipo kukabidhi ofc? Eti leo anatoa ushauri kwa watu wenye uelewa na kujitambua zaidi yake afikiriaye kimasaburi zaidi.....!
 
Ukawa walitoka nje ya bunge kupinga sheria ya makosa ya mtandaoni kwamba ni sheria mbaya sana na kandamizi kwa wananchi, ! Leo ni miezi 9 tokea sheria ianze kufanya kazi ,sasa nyinyi nyumbu tuwaulize mpaka sasa sheria ya mtandaoni imeshamkandamiza nani??Siasa za kupotosha watu kiasi hiki hazitawafikisha popote nyinyi UKIWA.
 
nimemuelewa kivyangu. nawe kivyako. so....
Unataka amuelewe vipi? Kama anakijua chama na ilihali halishindwa kuijua ndoa yake na kuikimbia leo anamsumbua babu wa watu hadi anatelekeza familia yake kwa uzwazwa wa mchepuko.
 
Back
Top Bottom