fredymkanza
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 284
- 152
Kwamba sasa democrasia ndio imekutana na Trump ngosha anakaba mpaka penalt
Kwamba sasa democrasia ndio imekutana na Trump ngosha anakaba mpaka penalt
umeniacha njia panda mzee mwenzangu....lakini ndio hivyoWho protects us from the people who protect us?
mwenyezi MUNGU awahifadhi kwa amani uko walipoHakika waimeifanya na kutimiza wajibu wao mkubwa hapa duniani..RIP our friends
R.I.P
yanauma sana ukiwa na moyo mwepesi utalia tuu...ila kila kilio huwa kina mbembelezaji lakini nahisi kilio chetu kinakosa wakutubembelezaDaaaah mkuu umeandika kwa hisia kali sana.Machozi yamenitoka!
Imeniuma [emoji22][emoji22][emoji22]
R.I.P Senga
acha tu mzaeee mwenzangu ni kama tunadumbukia shimoni...huku tumefungwa macho kwa vitambaa vyeusiKwamba sasa democrasia ndio imekutana na Trump ngosha anakaba mpaka penalt