wakuu,
Hebu niwakumbushe kidogo.Jaribuni kuunganisha tukio la selasini kujinga na CHADEMA from NCCR-Mageuzi na akatangaza kugombea ubunge immediatelly,pia kafulila katoka CHADEMA kaenda NCCR kwa kuwa kule kigoma kusini wana base imara na kwa ajili ya ubunge mwakani!
Wakuu,hili suala tulisema si zuri saaana lakini wanachadema wengine wakaja juu,so hapa tukubaliane aliyeuza cheni bandia kapewa pesa bandia
on the other hand!
Wakuu,
Mimi naona ni bora tumuunge mkono kafulila kwani mwenzetuhajatoka sana nje ya mstari.kama tulimuunga mkono Joseph selasini alipohamia CHADEMA with narrow ambitions kwa nini tushindwe kuvumilia hili?.Swala ni kuwa na malengo imara ya kujenga upinzani wenye nguvu Tanzania,sasa kama mtu anatoka tu CHADEMA anahamia NCCR tunapiga kelele,hivi ni sisi kweli tuliokua tunapigia kelele kuunganisha nguvu kwa vyama vya upinzani?
Nadhani kafulila ni jamaa jasiri sana na namuunga mkono kwa hili.Mimi naipenda CHADEMA sana na sera zake lakini kwa hili la Kafulila ni mkakati mzuri wa kisiasa ingawa sikubaliani na hii ishu ya kuvujisha siri za chama
Ndugu Zitto endelea kumpa moyo kafulila ili kigoma kusini iende upinzani mwakani