Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
Jimbo linarudi Nccr mageuzi au Ccm.Hii ni kwa sababu hayumo kwenye orodha ya watia nia ya kugombea ubunge wa jimbo hilo iliyowasilishwa kwenye ofisi ya Katibu Mkuu , kama utaratibu wa Chadema unavyoelekeza.
Chadema iliwaelekeza wanachama wake wenye lengo la kugombea udiwani au ubunge kujaza fomu maalum ya kutia nia ya kugombea na kuiwasilisha kwenye ofisi ya Katibu Mkuu , Selasini na Mzee Lwakatare hawakujaza fomu hizi huku Lwaks akitangaza kustaafu .
Shetani huwachukia na kuwaandama WALE za wenye kufaa kwa Mwenyezi Mungu. AmeniChadema watabaki wasiojielewa tu
Hayo ni ya kwako mjombaJimbo linarudi Nccr mageuzi au Ccm.
Mbona unakuwa mnyonge hivyo? Huo ndio ukweli wenyewe.Hayo ni ya kwako mjomba
Walau asubirie Bunge livunjwe, achukue mafao yake halafu achague cha kufanya baada ya hapo au hata pa kwenda. Ila siyo na yeye afanye mambo ya kitoto kama wale wengine, huku akiwa ni mtu mwenye staha zake kwenye jamii.
Hapo yupo kwa muda tu , safari kamili ni ccm
Kabisa mkuu. Ndo alikua chaguo letu wanaromboTulikosea kuwaachia majimbo masnitch kama.hawa. Ben Saanane angekuwa mbunge wa Rombo pengine asingetekwa
Tuambie ya kwakoHayo ni ya kwako mjomba
TANZIA: MKUU WA UHAMIAJI MKOANI KAGERA AFARIKI DUNIA Mkuu wa Uhamiaji mkoani Kagera Pendo Butenghe, amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Rufaa Mkoa - Bukoba, baada ya kuugua kwa muda mfupi. #JikingeWakingeWengine #Stayhome
Shikamoo mrombo
Kwani bado hili tatizo lipo nchi hii ?TANZIA: MKUU WA UHAMIAJI MKOANI KAGERA AFARIKI DUNIA Mkuu wa Uhamiaji mkoani Kagera Pendo Butenghe, amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Rufaa Mkoa - Bukoba, baada ya kuugua kwa muda mfupi. #JikingeWakingeWengine #Stayhome
#NawaMikono