Amevuna alichopanda.. Hivi act ipo hai kweli? Kimya chao kinasumbuaWanajf subalaheri!
Siitaji kusema mengi sana kuhusu kilichotokea NCCR-Mageuzi kikiongozwa na Selasini lakini ifahamike pia kuwa Joseph Selasini ameendesha vuguvugu la mapinduzi nccr akiwa ni mwanachadema.
Alichokifanya ni kulipa ujira aliopewa na ccm(serikali)kuvuruva cdm.Kimsingi Chama kilicholengwa kuvurugwa ni CDM kwanza halafu ingefuatia Nccr kwa sababu kilionekana kuwa mshirika wa karibu na CDM katika hatua mbalimbali mf Ukawa,Katiba Mpya,kupinga tozo,kupinga uchafuzi 2022.na dalili hizi zinaoneshwa na Wale MdeeCovid-19.
MdeCovid ilikuwa uchochoro wa chokochoko wa ccm(serikali)kukisambaratisha CDM.na mpango huu anahusika Selasini ndiyo maana alitangaza kuwa CDM kiaina baada ya kuwa nje ya chama hicho wakati wa Magufuli.Je Selasini aliwahi kutangaza kujiunga na NCCR?
CDM ni jabari katika ukanda huu wa Afrika ktk vyama vya siasa,Intelijensia yao ni adili na kimekita mizizi.
Pamoja ma hayo CDM wanapaswa kuongeza mbinu na mapambano maana lengo halikuwa nccr,ila wao.
Tukumbuke hilo.
Kuna mtu atasema mbona haijawahi kuongoza nchi, mbona hamna jengo la kisasa la ofsi kuu au mbona hamna hata mbunge mmoja.CHADEMA ni taasisi imara na yenye intelijensia ya hali ya juu mno ndio maana imeweza kusimama imara mpaka leo! Mungu ibariki CHADEMA.
Nccr yenyewe pale mwenye jambo la maana ni mbatia tu alikuwa alama ya chama Sasa kama kapinduliwa sion mwenye ushawishi paleWanajf subalaheri!
Siitaji kusema mengi sana kuhusu kilichotokea NCCR-Mageuzi kikiongozwa na Selasini lakini ifahamike pia kuwa Joseph Selasini ameendesha vuguvugu la mapinduzi nccr akiwa ni mwanachadema.
Alichokifanya ni kulipa ujira aliopewa na ccm(serikali)kuvuruva cdm.Kimsingi Chama kilicholengwa kuvurugwa ni CDM kwanza halafu ingefuatia Nccr kwa sababu kilionekana kuwa mshirika wa karibu na CDM katika hatua mbalimbali mf Ukawa,Katiba Mpya,kupinga tozo,kupinga uchafuzi 2022.na dalili hizi zinaoneshwa na Wale MdeeCovid-19.
MdeCovid ilikuwa uchochoro wa chokochoko wa ccm(serikali)kukisambaratisha CDM.na mpango huu anahusika Selasini ndiyo maana alitangaza kuwa CDM kiaina baada ya kuwa nje ya chama hicho wakati wa Magufuli.Je Selasini aliwahi kutangaza kujiunga na NCCR?
CDM ni jabari katika ukanda huu wa Afrika ktk vyama vya siasa,Intelijensia yao ni adili na kimekita mizizi.
Pamoja ma hayo CDM wanapaswa kuongeza mbinu na mapambano maana lengo halikuwa nccr,ila wao.
Tukumbuke hilo.
Ujinga mtupo umeandika kama chama kinaweza kuvurugwa na mtu mmoja kuna maana gani ya kuwa mwanachama wakeWanajf subalaheri!
Siitaji kusema mengi sana kuhusu kilichotokea NCCR-Mageuzi kikiongozwa na Selasini lakini ifahamike pia kuwa Joseph Selasini ameendesha vuguvugu la mapinduzi nccr akiwa ni mwanachadema.
Alichokifanya ni kulipa ujira aliopewa na ccm(serikali)kuvuruva cdm.Kimsingi Chama kilicholengwa kuvurugwa ni CDM kwanza halafu ingefuatia Nccr kwa sababu kilionekana kuwa mshirika wa karibu na CDM katika hatua mbalimbali mf Ukawa,Katiba Mpya,kupinga tozo,kupinga uchafuzi 2022.na dalili hizi zinaoneshwa na Wale MdeeCovid-19.
MdeCovid ilikuwa uchochoro wa chokochoko wa ccm(serikali)kukisambaratisha CDM.na mpango huu anahusika Selasini ndiyo maana alitangaza kuwa CDM kiaina baada ya kuwa nje ya chama hicho wakati wa Magufuli.Je Selasini aliwahi kutangaza kujiunga na NCCR?
CDM ni jabari katika ukanda huu wa Afrika ktk vyama vya siasa,Intelijensia yao ni adili na kimekita mizizi.
Pamoja ma hayo CDM wanapaswa kuongeza mbinu na mapambano maana lengo halikuwa nccr,ila wao.
Tukumbuke hilo.
Mkuu na ukubwa wote huo unataka kujificha katika mkaranga ili usionekane?!!!Waliteuliwa wakiwa wanachama wa chadema?