CHADEMA ni taasisi imara na yenye intelijensia ya hali ya juu mno ndio maana imeweza kusimama imara mpaka leo! Mungu ibariki CHADEMA.Wanajf subalaheri!
Siitaji kusema mengi sana kuhusu kilichotokea NCCR-Mageuzi kikiongozwa na Selasini lakini ifahamike pia kuwa Joseph Selasini ameendesha vuguvugu la mapinduzi nccr akiwa ni mwanachadema.
Alichokifanya ni kulipa ujira aliopewa na ccm(serikali)kuvuruva cdm.Kimsingi Chama kilicholengwa kuvurugwa ni CDM kwanza halafu ingefuatia Nccr kwa sababu kilionekana kuwa mshirika wa karibu na CDM katika hatua mbalimbali mf Ukawa,Katiba Mpya,kupinga tozo,kupinga uchafuzi 2022.na dalili hizi zinaoneshwa na Wale MdeeCovid-19.
MdeCovid ilikuwa uchochoro wa chokochoko wa ccm(serikali)kukisambaratisha CDM.na mpango huu anahusika Selasini ndiyo maana alitangaza kuwa CDM kiaina baada ya kuwa nje ya chama hicho wakati wa Magufuli.Je Selasini aliwahi kutangaza kujiunga na NCCR?
CDM ni jabari katika ukanda huu wa Afrika ktk vyama vya siasa,Intelijensia yao ni adili na kimekita mizizi.
Pamoja ma hayo CDM wanapaswa kuongeza mbinu na mapambano maana lengo halikuwa nccr,ila wao.
Tukumbuke hilo.
Mungu ibariki CHADEMAWanajf subalaheri!

CHADEMA ni taasisi imara na yenye intelijensia ya hali ya juu mno ndio maana imeweza kusimama imara mpaka leo! Mungu ibariki CHADEMA.
Amen🙏CHADEMA ni taasisi imara na yenye intelijensia ya hali ya juu mno ndio maana imeweza kusimama imara mpaka leo! Mungu ibariki CHADEMA.
Mamluki wa viwango vyote wameshindwa kuipenya ngome shupavu ya hiki chama mwiba mchungu kwa chama tawalaAmen[emoji120]
Mungu zidi kuibariki na kuilinda CHADEMA
Kushindwa kuibomoa CHADEMA ni pigo kubwa kwa wote waliokuwa na nia ovuMleta uzi uko sahihi kabisa, target hasa ni kuisambaratisha CDM kwani ndio tishio la kweli la CCM. Hao NCCR ni kwakuwa walijiachia na kukubali kutumiwa na ccm hasa uchaguzi wa 2020.
CHADEMA ni mpango wa MunguMungu ibariki CHADEMA
Nitaomba Misa Kanisani Kwa ajili ya CHADEMA
Huwezi fananisha cdm na vyama vya ajabu ajabu Kamanda Mbowe kuitwa mwamba sio kitu Cha kitoto
Angalia hapa chini utashangaa hawa nao kujiita chama pinzaniView attachment 2370107
Kumbe shinda ni kunywa juice nenda na Wewe ukanywe mkuuTulileta Picha akinywa Juice pale Magogoni ina tofauti gan na hii? Tena akiwa ametoka Gerezani [emoji38]
Duh!.Wanajf subalaheri!
Pamoja ma hayo CDM wanapaswa kuongeza mbinu na mapambano maana lengo halikuwa nccr,ila wao.
Tukumbuke hilo.
AmenMungu zidi kuibariki na kuilinda CHADEMA
Nitachangia milioni 1Mungu ibariki CHADEMA
Nitaomba Misa Kanisani Kwa ajili ya CHADEMA
Ni mwanachama gani wa cdm aliteuliwa kuwa waziri??Kama hali ndo ipo hivi basi kwa hakika hakuna kazi.....KWISHNEI!!
Yaani huko mitaani kumbe kuna bado kuna cdm inayoogopwa?!!!!!! Hahaha
Kumbe huyu mbatia wa kuwahi kupata ubunge wa kuteuliwa na raisi wa ccm ndo anaogopwa hiviii?!!!!!!! Hahahaaa
Yaani cdm hii iliyoizalishia ccm wanachama kibao walioshika madaraka hadi ya uwaziri ndo inayoogopwa?!!!!!!!!! Hahahahahaaaaaa
Kuna wakati naona aibu mimi kusoma baadhi ya comments! Uraibu wa vyama naona hauna utofauti na dini kwa kweli.
Samahani mtoa mada, ila umeleta comedy inayofanana na cartoon ya Tom & Jerry.
Mbona wengi sana kiongozi!Ni mwanachama gani wa cdm aliteuliwa kuwa waziri??