Joseph Selasini alikaribishwa NCCR na Sasa anamfukuza James Mbatia aliyemkaribisha NCCR

Tatizo ni pesa nukta
James aligeuza chama ni cha familia kama si ukoo sasa waliohama toka Chadema wanatafuta mlunga aka pesa anazofaidi James peke yake... hakuna upinzani kupitia nccr mageuzi wote ni kujinufaisha wao kama wao....
Upinzani bongo ni kiduchuuuuuuu
Msipoteze muda kujadili James wala selasini wote ni wamoja
Pesa ilimuua Yesu
 
Waliojaribu wote kuleta migogoro Chadema waliondoka, hata huyo Mbatia kama atakuja Chadema na kuutaka uenyekiti hapo hapo kwanza nitawashangaa wajumbe kama watampa huo uenyekiti wenyewe huyo mgeni.
 
Hahahaha. Hahahaha sawa sawa.

Tuanze kwa kupongeza kwa wewe kuchukua muda wako na kuandika hili bandiko hili.

Kwanza kabisa yanayoendelea NCCR ni matokeo ya mbegu iliopandwa ndani ya chama hicho. Mbegu iliopandwa ndani ya chama hicho ni usaliti na kutoaminiana tokea mwanzo wa mwenyekiti wao Agustino Lyatonga Mrema, unakumbuka siasa za upinzani wakati ule? Au mmesahau? Jinsi mrema alivyowafanya wapinzani wenzake? Jinsi mbatia alivyompindua mrema? Au mmesahau jinsi mbatia alivyotoa maneno makali wakati wa awamu ya tano kuwa UKAWA ilikuwa na lengo la kuvuruga nchi na walikuwa na sapoti kutoka nje ya nje? Huku akiungana kindaki ndaki na mwenda zake? Hahahahaha mmesahau jinsi Joseph Selasini alivyosaliti chadema?

Mbegu ya usaliti ni mbaya sana Mwalimu Nyerere alisema ukila nyama ya mtu huta acha dhambi hiyo itakufuata tu....

Upinzani wa akina zito kabwe na profesa lipumba unajulikana kabisa
 
This is Tanzanian Politik,
Joseph Salasini alikimbia Chadema kama mamluki akapokelewa na James Mbatia NCCR Mageuzi kwa mbwembwe na vifijo

Leo Joseph Selasini mtu wa kuja na hata miaka mitano hana anaamua kumtimua mwenyekiti wake bwana Mbatia wa NCCR Mageuzi

Watch what will happen in the next few weeks,

James Mbatia atahamia Chadema na ataapokelewa kwa Mbwembwe chadema

James Mbatia akiwa Chadema atawalaghai na kuanza kupambana awe mwenyekiti na huu ndio utakuwa mwisho wa Freeman Mbowe

Hakuna kitu cha bahati mbaya, Haya yote ni pre planned

Hii mission Chadema wakiweza kupona hapa basi haitakufa tena

Wapinzani kila wakivurugana wenyewe wanatusingizia ni sisi ccm tumewavuruga, Kwenye hili tumewapa hints kidogo kuwa mnavurugana wenyewe

I say never under estimate James Mbatia

Pascal Mayalla anamfahamu vizuri who is Mbatia in this country, The role of Mbatia Katika siasa zetu tangu 1992
Selasini kwa ninì alikinbia Chadema?
 
Walishindwa wakina Somaye kupenyeza sembuse Mbatia hivi waichukulia poa chadema au waisikia, ile chama ni next level,
 
Ukikaribishwa kwenye chama basi uwe ndiyo mzeeee siyo etiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?
 
Huyu Mzee 30 atafanya wanasiasa waanze kuogopana kukaribishana kwenye vyama na kupeana vyeo mapema, alichomfanyika mzee mwenzake si kitendo kizuri na si cha kiuungwana kabisa.
 
Selasini ni Miongoni mwa waasisi wa NNCR Mageuzi alikuwa tu chadema kwa Dharura ila ni mwanachama wa NCCR MAGEUZI hivyo mbatia ndiye aliyemkuta
 
Selasini ni Miongoni mwa waasisi wa NNCR Mageuzi alikuwa tu chadema kwa Dharura ila ni mwanachama wa NCCR MAGEUZI hivyo mbatia ndiye aliyemkuta
 
Selasini ni Miongoni mwa waasisi wa NNCR Mageuzi alikuwa tu chadema kwa Dharura ila ni mwanachama wa NCCR MAGEUZI hivyo mbatia ndiye aliyemkuta
 
This is Tanzanian Politik,
Joseph Salasini alikimbia Chadema kama mamluki akapokelewa na James Mbatia NCCR Mageuzi kwa mbwembwe na vifijo

Leo Joseph Selasini mtu wa kuja na hata miaka mitano hana anaamua kumtimua mwenyekiti wake bwana Mbatia wa NCCR Mageuzi

Watch what will happen in the next few weeks,

James Mbatia atahamia Chadema na ataapokelewa kwa Mbwembwe chadema

James Mbatia akiwa Chadema atawalaghai na kuanza kupambana awe mwenyekiti na huu ndio utakuwa mwisho wa Freeman Mbowe

Hakuna kitu cha bahati mbaya, Haya yote ni pre planned

Hii mission Chadema wakiweza kupona hapa basi haitakufa tena

Wapinzani kila wakivurugana wenyewe wanatusingizia ni sisi ccm tumewavuruga, Kwenye hili tumewapa hints kidogo kuwa mnavurugana wenyewe

I say never under estimate James Mbatia

Pascal Mayalla anamfahamu vizuri who is Mbatia in this country, The role of Mbatia Katika siasa zetu tangu 1992
Unaweza kuwa pia humfahamu Joseph Selasini. Huyu naye ni mwanamageuzi kama Mbatia na yeye ni Mwana NCCR wa siku nyingi akiwa pamoja na Mbatia na mtu anaitwa Anthony Komu.
 
Kama hamjui ni kuwa Joseph Selasini ni moja ya waasisi wa NCCR Mageuzi,na hata uchaguzi Mkuu wa kwanza wakati Mrema anagombea Urais kupitia NCCR yeye ndio alikuwa MC wa shughuli zote za kampeni za Mrema kipindi hicho NCCR ni moto haswa akiwa yeye na ndugu yake Marehemu Dr Masumbuko Lamwai.
You are very tight. Hawa watu wanafahamiana vizuri tu na wote ni wanamageuzi ni waanzilishi wa mageuzi hapa nchini. Huwezi kutaja waanzilishi wa mageuzi usimtaje Dr. Masumbuko Lamwai RIP (Kaka yake Selasini), Mabere Marando, Joaeph Selasini, Mbatia, Anthony Komu, Kasanga Tumbo, Chief Fundikira, Mzee Cheyo, Marehemu Mtukila!
 
Mbona hadithi yako hujaikamilisha:
Mbatia atakapomtimua Mbowe huko chadema, Mbowe atatimukia ccm na kupokelewa kwa ndelemo na mbwembwe. Baada ya kuwa huko naye atamtimua mwenyekiti wa CCM ambaye atatimukia CUF na hatimaye kumtimua Prof Lipumba ambaye atatimkia ACT wazalendo na kumtimua Bw. Zitto Kabwe ..... and cycle will continue. Aluta continue aka Mapambano yanaendelea.
 
Back
Top Bottom