Kwa hiyo nyinyi ndio mumemuuwa ili kulipiza kisasi?
Au unaendelea na siasa zenu za majitaka?
Kifo hupangwa na Mungu na sio hii Chadema yenu iliyojaa visasi mpaka matak**i.
Kwa ujinga huu,hakuna raia atawahi kuja kuwapigia kura mshike Dola.
Damu ya Chacha Wangwe itawaandama sana!