Joseph Nyerere na Lembeni kulikoni?

Joseph Nyerere na Lembeni kulikoni?

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
5,182
Reaction score
2,330
Nimesikia kuwa hawa wabunge kura hazikutosha ningependa kupata taarifa sahihi
 
​Mkuu Vijana Wa IT Wa Lumumba Wapo Kazini, Ila vuta subra.
 
Angebaki wapi? alikatwa ndio maana akakimbia, ingawa jamaa ni mzuri lakini basi tena ndio hivyo

Lembeli hakukatwa, alijitoa CCM kabla ya kura za maoni kwa kujua kabisa hakuwa anakubalika hivyo akatumia nafasi ya upepo wa mabadiliko kujipatia umaarufu na kuwafanya wananchi wasahau kuwa ni yeye waliekuwa wanamzomea kila wakati. Sijajua ni uzuri upi wa Lembeli unaozungumzia
 
Niko Kahama na ccm ss hv wanasherekea baada ya Kishimba kutangzwa kuwa mshindi!

Kwa walio wengi hamna anayeelewa ni kwa jinsi gani Kishimba kashinda!
 
Kishimba kashinda kwa kishindo, kwan kata zote za kahama zimechikuliwa na ccm,,!!
 
Lembeli kumshinda Kishimba ilikuwa ndoto.Kishimba ndo chanzo cha Lembeli kuhamia CDM alijua hawezi kupenya kura za maoni ndo kujifanya CCM blah blah blah blah...
 
Back
Top Bottom