Bado Waziri wa zamani wa Elimu katika awamu ya tatu Joseph Mungai (MB) anakumbukwa kwa jitihada zake na mafanikio yake katika kuvuruga mitaala ya elimu Tanzania!
Lakini nyuma ya pazia ni kwamba huyu ni mzaliwa na raia wa KENYA.....! ambaye alikuwa na mission moja tuu..kuikadamiza elimu ya watz ili Kenya iendelee kupaa... na alifanikiwa hasa..wapo watakao kuja hapa kuandika tofauti na miye lakini wakifanya utafiti watajua yasemwayo yalivyonakshiwa na ushahidi mnene tuu.
Angalizo: YATUBIDI TUWE MAKINI NA UTENDAJI WA VIONGOZI WETU, baadhi sio RAIA na wana MIPANGO TOAFAUTI na Watanzania wadhaniavyo!

kufuta masomo ya biashara na michezo mashuleni ni jambo muhimu?kwa upande wangu mabadiliko ya mungai yalikuwa ni muhimu kwa taifa. Ninaweza kutoa sababu nyingi tu.
hakuna nchi iliyoshinikiza kufuta masomo na michezo mashuleni ni umbumbu wa mungai. Kwani yeye mwenyewe ana vyeti feki.wewe bana huna unalolijua!hakika huna.nilibahatika kuwa mwalimu wa sekondari mwaka 2003 walau naelewa!
Wewe naomba nikupe summary tu kwamba katika hali ya kawaida kabisa ki-utendaji mungai could never never decide on his own!that is one
pili biashara ya kuvunja mitaala ilikuja na secondary education development program(s.e.d.p),ambayo ilikuwa ni moja ya conditions za msingi kabisa za metropolitan countries katika kumwaga hela zao pale.haikuwa rahisi kwa nchi nyingi masikini kama tanzania(hasa ukizingatia zile hela wao walikuwa wanazihitaji)kuikwepa hiyo condition!
Bro!so sorry,lakin blame it on ben!am telling you,put all the blames on ben ambae alikubali
kufuta masomo ya biashara na michezo mashuleni ni jambo muhimu?
Mungai ni fisadi na historia itamuhukumu kwa kutaka kuiangamiza tanzania.thanks jk akarudisha masomo hayo.
Una uhakika na uliyoyaandika?
Ushauri: Pata data zote ndipo uandike kitu kinachoeleweka!
Maswali kwako:
1. Hivi unadhani mtu anaweza kuwa mbunge na waziri hivi hivi tu kama angekuwa kweli "mzaliwa na raia wa KENYA"?? Wapiga kura na marais wote wanne wa Tanzania hii ni mbumbumbu?
2.Hizo "....jitihada zake na mafanikio yake katika kuvuruga mitaala ya elimu Tanzania!" ni zipi? Hebu nikumbushe na ziweke wazi kwani ulichoandika ni kama msemo wa blangeti kwani naona kama upo too general.
3. Utafiti uliofanywa na waliobobea kwenye fani ya elimu ni quite overwhelming........in his favor.
Vilevile, sio kukandia bali inaonekana ni mgeni katika mambo haya ya forum na blogging na newsgroups etc - topic kama hii zimeshazungumziwa sana tu na kwa watu kama sisi wa old skul tunazijua vema. Eniwei, ni vizuri young bucks get to know stuff like this.
Michezo ilifutwa? Lini tena? Nilikuwa shuleni enzi zile na michezo tulicheza ila hatukwenda mashindano ya UMISETA kitaifa kama zamani ambapo kanda zote TZ zilikutana kwenye mashindano. Nayo mashindano ya kitaifa ya UMISHUMTA nayo yalishitishwa ila mashuleni michezo iliendelea.
Kwa ufupi tu Mungai hakufuta michezo hata kidogo! Alichofuta ni mashindano ya UMISHUMTA na UMISETA ya nchi nzima.
Mr.Clean yupo hapa toka mwaka 2006 na wewe umejiunga August 2008 kama ni ugeni wewe ndio mgeni kwenye mambo haya ya Forums.
wako mawaziri wengi walikuwa kwenye serikali ya Uganda lakini Rwanda ilipopata madaraka chini ya Kagame wakaenda Rwanda na kusema kuwa wao hawakuwa Waganda.
vyuo vikuu vyetu vingi tu vina watu wageni kama hao kina Mungai.uliza SUA na Mzumbe kulikuwa na wahadhiri wengi toka Rwanda wakijifanya watanzania.
aliyekuwa mkuu wa TAKUKURU kabla ya Hosea NI MNYARWANDA jiulize hilo kwanza.
kufuta masomo ya biashara na michezo mashuleni ni jambo muhimu?
Mungai ni fisadi na historia itamuhukumu kwa kutaka kuiangamiza tanzania.thanks jk akarudisha masomo hayo.
Una uhakika na uliyoyaandika?
Ushauri: Pata data zote ndipo uandike kitu kinachoeleweka!
Maswali kwako:
1. Hivi unadhani mtu anaweza kuwa mbunge na waziri hivi hivi tu kama angekuwa kweli "mzaliwa na raia wa KENYA"?? Wapiga kura na marais wote wanne wa Tanzania hii ni mbumbumbu?
2.Hizo "....jitihada zake na mafanikio yake katika kuvuruga mitaala ya elimu Tanzania!" ni zipi? Hebu nikumbushe na ziweke wazi kwani ulichoandika ni kama msemo wa blangeti kwani naona kama upo too general.
3. Utafiti uliofanywa na waliobobea kwenye fani ya elimu ni quite overwhelming........in his favor.
Vilevile, sio kukandia bali inaonekana ni mgeni katika mambo haya ya forum na blogging na newsgroups etc - topic kama hii zimeshazungumziwa sana tu na kwa watu kama sisi wa old skul tunazijua vema. Eniwei, ni vizuri young bucks get to know stuff like this.
Bado Waziri wa zamani wa Elimu katika awamu ya tatu Joseph Mungai (MB) anakumbukwa kwa jitihada zake na mafanikio yake katika kuvuruga mitaala ya elimu Tanzania!
Lakini nyuma ya pazia ni kwamba huyu ni mzaliwa na raia wa KENYA.....! ambaye alikuwa na mission moja tuu..kuikadamiza elimu ya watz ili Kenya iendelee kupaa... na alifanikiwa hasa..wapo watakao kuja hapa kuandika tofauti na miye lakini wakifanya utafiti watajua yasemwayo yalivyonakshiwa na ushahidi mnene tuu.
Angalizo: YATUBIDI TUWE MAKINI NA UTENDAJI WA VIONGOZI WETU, baadhi sio RAIA na wana MIPANGO TOAFAUTI na Watanzania wadhaniavyo!
Mkuu hizo tuhuma nyingine juu ya Mungai sizijui vyema, lakini hilo la kwamba asiye raia hawezi kuwa kiongozi sikubaliani na wewe!
Ni juzi juzi tumeshuhudia mganda wa kuzaliwa Mkassa akiapishwa kuwa mbunge Dodoma, tena baada ya kupora ushindi wazi wazi toka kwa mtanzania aliye shinda kihalali, achilia mbali Fisadi Papa RA raia wa Irani ambaye ni mbunge wa kuchagulia mjumbe NEC ambaye wote tumeshuhudia mkono wake jinsi ulivo mrefu katika kuliendesha na kuliyumbisha taifa letu.
Ninachoweza sema yeyote yule awe mchina, mwararabu, mjapani, kaburu aweza kuwa hata waziri mkuu alimradi tu apitie chama cha mafisadi, watetea matumbo wanao singizia maslahi ya chama kwanza, badala ya Taifa lao wako tayari kumlinda kwa garama zozote zile na popote pale.