Kuna ajira inamfaa mpaka uhitaji CV yake?Yeyote mwenye CV za Mbunge Wa Geita Bw.Msukuma atupie humu haraka sana.
Nisamehe bure, nimeipenda tuu pen name yako ya Mtoto wa Mama Samia!, kumbe kuna watu humu mlianza zamani!.Yule mchawi flani tu.Aliwadalalia wananchi waliokuwa wanadai fidia ya maeneo kwa mgodi, hapo alipiga hela ya maana.
Nisamehe bure, nimeipenda tuu pen name yako ya Mtoto wa Mama Samia!, kumbe kuna watu humu mlianza zamani!.
P
Duh...!, kumbe tulikuwa na mtoto wa naniliu humu, baada ya mama kuwa naniliu, akabadili jina!.Kabadili jina huyo
Huyo ni Mhutu
Kwa mara ya kwanza nilimuona Bwn.Joseph Kasheku (Msukuma) akiwa kwenye kipindi cha siasa Star TV, akatambulishwa kama Mwenyekiti wa CCM Geita.
Sikumtilia maanani sana kwa kuwa alijaa majigambo kuliko hoja, tofauti na makamanda wa SAUT ambao walijenga hoja nzito. Alionekana bwana mdogo tu hivi!
Ghafla nikasikia Mh. Mwigulu anakata mawimbi na "Chopa la Msukuma". Na leo pale kwenye Safari isiyo na Matumaini kafanya taiz kutua na Chopa.
Sasa wanaomjua vizuri watupe details, huyu ni nani hasa, katoa wapi mapesa haya yote, halafu kama vile kwa umri mdogo!!
Sasa wanaomjua vizuri watupe details, huyu ni nani hasa, katoa wapi mapesa haya yote, halafu kama vile kwa umri mdogo!!
Mkuu Lusungo , kwanza asante kwa hii, kiukweli huyu jamaa ni habari nyingine!, mimi baada ya kuangalia zile two series za makala kuhusu historia ya maisha yake, niliwahi kusema kitu kumhusu mtu huyu, na kila nikimsikiliza hoja zake, japo sometimes ana hoja za msingi sana, lakini huyu jamaa ni issue! GEITA: Msukuma amshusha cheo mkuu wa shule kwa kukataa Magufuli club kufanyia mahafali shuleni!Nimemsikiliza Dr Kasheku Musukuma kupitia hii video nimejifunza mengi sana.
1. Kumbe ukiwa na PhD unapata visa ya kuzunguka duniani kote. Na usomi wangu wote sikuwahi sikia hili.
2.kumbe honoris causa inakupa fursa kubwa kuliko PhD ya kukaa darasani
3. Nimejifunza waafrika wengi tuna haiba ya kuvichukia vitu ambavyo tumeshindwa kuvipata. Kupitia video hii Dr. Musukuma ameeleza wazi wazi furaha aliyonayo baada ya yeye sasa kuwa na PhD ambapo awali alionesha chuki za wazi kwa wasomi
Mwisho katuambia tuache wivu, yeye ni next level now, hivyo tujitume sana kukipata alichopata.View attachment 2036688
Ana kipaji cha kuongea na kupanga hoja, shida kubwa ni elimu. Angekuwa na elimu ya kutosha angefika mbali sana.