PreGE2025 Joseph Mbilinyi: Tunapush "No Reforms, No Election' kwani lengo ni kugombea kwenye Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,439
Reaction score
6,692
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema licha ya kutokuwa sehemu ya uamuzi wa kugawa jimbo hilo, lakini ni miongoni mwa wanaosubiri mchakato huo kukamilika, huku akikanusha taarifa za kuwa hatagombea.

Pia, amesisitiza anachosubiri ni uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuligawa jimbo hilo linaloongozwa na Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ili ajue atagombea wapi.

Mbeya ni miongoni mwa mikoa iliyopendekeza majimbo yake kugawanywa ikiwa ni Mbeya Mjini yapatikane mawili la Mbeya Mjini lenyewe na la Uyole. Pia la Mbeya Vijijini yapatikane mawili la Mbeya Vijijini na la Mbalizi.

Akizungumza leo Machi 20, 2025 Sugu amesema mchakato unaoendelea wa kugawa jimbo hilo, anasubiri matokeo yake kwa kuwa hashiriki vikao vya namna yoyote vya maamuzi.

Sugu amesema kwa sasa ameamua kuwa mtulivu akisubiri wagawe ili kuona mpira ukifika uwanjani kuamua ni mguu wa kushoto au kulia wa kupigia danadana, huku akikanusha vikali taarifa zilizomtaja kuwa hatagombea.

sugu.png

“Mimi siyo mbunge, siingii kwenye vikao hivyo vya maamuzi, nasubiri matokeo ili kujua ni mguu upi wa kushoto au kulia wa kupigia danadana, kwa sasa nimekuwa mtulivu nikisubiri matokeo.

“Ndio maana tunapushi ‘No Reforms No Election’, lengo ni kugombea vinginevyo tungeweza kufanya shughuli nyingine kama kuuza chai na maandazi huko Desideria, ile posti iliyosambaa mitandaoni siyo ya kwangu”
amesema Sugu.

Hata hivyo, kwa kipindi cha nyuma wakati wa mikutano yake Sugu, mara kadhaa alikaririwa akieleza kuhitaji kumfuata mbunge wa CCM, Dk Tulia popote atakapogombea kwenye uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.

Source: Mwananchi
 
View attachment 3278365

no reform no elections halafu unasubiri mchakato wa kuligawa jimbo ili ujue utagombea jimbo lipi, surely?

hii habari ya kung'ata na kupuliza itakupa ushindi kweli? Why staki na taka kuelekea uchaguz mkuu gentleman?

kwanini usiwape wananchi wako uhakika kuliko kuwajaza dhana na fikra za kuona hakuna umuhimu wa uchaguz? si utashindwa asubuhi na mapema kabisaa 🐒
 
Ule ni uamuzi wa lissu pekee alikurupuka jongwe kauchukua pesa za wazungu asuse wamle nyama!
 
Hawa watu hawaeleweki nawahurumia wanaopoteza muda kuwafatilia
Ni vigumu kuelewa kama hautaki kuelewa. Ufafanuzi umetolewa mara nyingi lakini ugumu ni pale watu hawataki kuelewa. No reforms no election, CDM watashiriki uchaguzi kwa njia ambayo wataona inafaa. Ukizuia uchaguzi, tayari umeshiriki uchaguzi, ukipiga kura/ kupigiwa tayari umeshiriki. Lakini, reforms hazijashindikana hivyo hawawezi kuacha kupanga mikakati ya uchaguzi
 
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema licha ya kutokuwa sehemu ya uamuzi wa kugawa jimbo hilo, lakini ni miongoni mwa wanaosubiri mchakato huo kukamilika, huku akikanusha taarifa za kuwa hatagombea.

Pia, amesisitiza anachosubiri ni uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuligawa jimbo hilo linaloongozwa na Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ili ajue atagombea wapi.

Mbeya ni miongoni mwa mikoa iliyopendekeza majimbo yake kugawanywa ikiwa ni Mbeya Mjini yapatikane mawili la Mbeya Mjini lenyewe na la Uyole. Pia la Mbeya Vijijini yapatikane mawili la Mbeya Vijijini na la Mbalizi.

Akizungumza leo Machi 20, 2025 Sugu amesema mchakato unaoendelea wa kugawa jimbo hilo, anasubiri matokeo yake kwa kuwa hashiriki vikao vya namna yoyote vya maamuzi.

Sugu amesema kwa sasa ameamua kuwa mtulivu akisubiri wagawe ili kuona mpira ukifika uwanjani kuamua ni mguu wa kushoto au kulia wa kupigia danadana, huku akikanusha vikali taarifa zilizomtaja kuwa hatagombea.

View attachment 3278365

“Mimi siyo mbunge, siingii kwenye vikao hivyo vya maamuzi, nasubiri matokeo ili kujua ni mguu upi wa kushoto au kulia wa kupigia danadana, kwa sasa nimekuwa mtulivu nikisubiri matokeo.

“Ndio maana tunapushi ‘No Reforms No Election’, lengo ni kugombea vinginevyo tungeweza kufanya shughuli nyingine kama kuuza chai na maandazi huko Desideria, ile posti iliyosambaa mitandaoni siyo ya kwangu”
amesema Sugu.

Hata hivyo, kwa kipindi cha nyuma wakati wa mikutano yake Sugu, mara kadhaa alikaririwa akieleza kuhitaji kumfuata mbunge wa CCM, Dk Tulia popote atakapogombea kwenye uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.

Source: Mwananchi
Cjaelewa hata kidogo
 
no reform no elections halafu unasubiri mchakato wa kuligawa jimbo ili ujue utagombea jimbo lipi, surely?

hii habari ya kung'ata na kupuliza itakupa ushindi kweli? Why staki na taka kuelekea uchaguz mkuu gentleman?

kwanini usiwape wananchi wako uhakika kuliko kuwajaza dhana na fikra za kuona hakuna umuhimu wa uchaguz? si utashindwa asubuhi na mapema kabisaa 🐒
Atashindwa kwani kuna ushindani?
 
Wasimame na moja. Kupigania reforms au kujiandaa na uchaguzi. Kuruka ruka kutachanganya wafuasi.
 
Wewe kweli low thinking.

Mpaka leo hii hujagunfua kuwa program ya No Reform No Election inalenga mabadiliko ya sheria ili kuwe na uchaguzi wa kweli kuliko ushetani kwa jina la uchaguzi? Nguvu hiyo lengo lake kubwa ni kugombea, lakini kugombea kwenye uchaguzi wa kweli, siyo maagizo.

Viongozi wa CHADEMA walikwishatamka kuwa hawatasusia uchaguzi wowote bali watazuia ushetani unaoitwa uchaguzi.
 
Ule ni uamuzi wa lissu pekee alikurupuka jongwe kauchukua pesa za wazungu asuse wamle nyama!

Pole kwa matatizo ya akili.

No Reform No Election ni uamuzi wa vikao vikuu vya chama kutekeleza matakwa ya wananchi wente akili timamu wasiotaka ushetani kwenye uchaguzi.
 
Wewe kweli low thinking.

Mpaka leo hii hujagunfua kuwa program ya No Reform No Election inalenga mabadiliko ya sheria ili kuwe na uchaguzi wa kweli kuliko ushetani kwa jina la uchaguzi? Nguvu hiyo lengo lake kubwa ni kugombea, lakini kugombea kwenye uchaguzi wa kweli, siyo maagizo.

Viongozi wa CHADEMA walikwishatamka kuwa hawatasusia uchaguzi wowote bali watazuia ushetani unaoitwa uchaguzi.
gentleman,
wewe ndie hauko chonjo, mabadiliko yalishafanyika na hakuna mabadiliko yatafanyika tena kuelekea uchaguz mkuu wa October mwaka huu2025, ndiyo maana waerevu kama SUGU wamegoma kubebwa ufala na wamepuzuia wito wa mwenyekiti kibaka na tapeli wa siasa nchini.

Lakini pia ndiyo maana umeona mamilioni ya wananchi Jiji la dare es salaam wanajitokeza kwa wingi kujiandaa na uchaguz mkuu huo muhimu, nao wakipuuzilia mbali no reform no elections ya huyo tapeli na kibaka wa siasa 🐒
 
Atashindwa kwani kuna ushindani?
Gentleman,
ndio maana muerevu SUGU, amepuuza no reform no elections ya mwenyekiti kibaka wa siasa za Tanzania, anasubiri migawanyiko wa majimbo ili aende kugombea kule ambako hakuna ushindani licha ya kua atashindwa tu vile vile na wagombeaji wa vyama vingine ikiwa ni pamoja na CCM 🐒
 
No reform no election,kama reform zikifanyika uchaguzi utafanyika na Chadema itashiriki,
Watu hawelewi nini?
 
Wasimame na moja. Kupigania reforms au kujiandaa na uchaguzi. Kuruka ruka kutachanganya wafuasi.

..kama hakuna reforms hawatashiriki.

..kukiwa na reforms watashiriki uchaguzi.

..wao ni chama cha siasa.

..Nadhani Chadema wanatakiwa wasichoke kuwaelewesha wananchi.
 
Ule ni uamuzi wa lissu pekee alikurupuka jongwe kauchukua pesa za wazungu asuse wamle nyama!
Wacha kupotosha , No reform no election ni uamuzi halali wa chama na umepata baraka zote za vikao husika, Chadema ni chama cha kidemokrasia siyo kama nyie ule upumbavu wenu mliofanya Dodoma mwezi January kumpitisha kihuni Samia na Nchimbi kitendo ambacho kimekigawa CCM na watu wakihoji wanafukuzwa na kutishiwa maisha.
 
Back
Top Bottom