Maccm wanajua hayo ni mikoa yenye upinzani kwa hiyo wanawakwamisha ili wote wasiandikishwe kweli magamba wanaharahara mwaka huu
Rudia kusoma ulichokiandika halafu jitafakari je mjinga ni Sugu au wewe?
mbeya ipi unasemea, sugu kachokwa tayari.
CHADEMA na UKAWA kupitia Prof.Lipumba walikuwa wanashinikiza uandikishaji usitishwe kwa sababu una kasoro nyingi sana(kwa mujibu wao) pia wakasema uchaguzi mwaka huu hautakuwepo kwa sababu muda wa kuandikishwa watu wote hautoshi.
Dr.Slaa akiongea siku alipotua uwanja wa ndege wa Mwl.Nyerere akitokea Marekani alisema BVR ni ufisadi mtupu. Huku akisisitiza kuwa mfumo huo haujawahi kufaulu sehemu yeyote ile duniani.
Sasa huu mpango wa CHADEMA na washirika wake kujidai wao ndio vinara wa kushawishi watu wajiandikishe umetoka wapi? Ina maana wameshasahau mapingamizi yao ya awali serikali ilipoanza mchakato huu?
Ni Lini BVR imekuwa sio mpango wa kifisadi kama alivyotuambia Mzee Slaa? Ni lini Lipumba na Mbowe wamegeuka na kuiunga Mkono serikali kuhusu uandikishaji huu?
CHADEMA na UKAWA acheni kuwa vigeugeu!
....we nae kichwa cha panzi kweli, pamoja na kasoro zooote chadema na ukiwa hawata bweteka. Na hii ndo maana ya kamanda. Ulidhani chadema wanasusa kama jamaa yuenu aliuekimbia uwaziri mkuu na leo anataka urais, wakimbana mbavu ajiudhuru atakubali pia.....
hivi mtu mjinga kama sugu na watu kumsikia na wao watakuwa wajinga vilevile
sijawahi kuona mmarangu mbumbu...mbu kama huyu !kitasa Cha chadema. sugu ana historia ya kuvuta bangi na Vincent nyerere. wananchi wamewakataa kuwarejesha
View attachment 258984kitasa Cha chadema. sugu ana historia ya kuvuta bangi na Vincent nyerere. wananchi wamewakataa kuwarejesha
hilo roboto la ccm limesetiwa .sijawahi kuona mmarangu mbumbu...mbu kama huyu !
hivi mtu mjinga kama sugu na watu kumsikia na wao watakuwa wajinga vilevile
Mibange tu!
wewe ndio Mjinga maana sisi wenye mbunge hatukuona hilo.hivi mtu mjinga kama sugu na watu kumsikia na wao watakuwa wajinga vilevile
Moderator ona jukwaa linachafuliwa huku na wahuni wachache.Mknd wako! toa hoja sio matusi.
Mkuu kwako mjinga ni yupi?hivi mtu mjinga kama sugu na watu kumsikia na wao watakuwa wajinga vilevile
Sasa kama Sugu kama ni mjinga wewe si utakuwa ---- wa kutupwa? Pole sana.hivi mtu mjinga kama sugu na watu kumsikia na wao watakuwa wajinga vilevile