Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,928
SawaKwel izo akili nazoo.
SawaKwel izo akili nazoo.
Huo ni mtazamo wa mtu aliyejawa na ubaguzi. Mtanzania ana haki ya kugombea uongozi mahali popote ili mradi awe na sifa.Sugu Mkoloni huyo kutoka nje ya mbeya kaja kutawalawa wana mbeya safari hii Sugu lazima afungishwe virago mbeya sio koloni la wakinga
Tulia amesoma Tukuyu, ni Mnyakyusa halisi, Sugu ni Mkinga kwao Makete Njombe