Joseph Mbilinyi (Sugu) anastahili pongezi

Kazi aliyoifanya Sugu Mbeya hakuna Mb yeyote atakayeweza kuifikia, Jamaa anapiga kazi kimya kimya hanamajigambo. Kinachoonekana ni kile anachokifanya.

Halafu we unayedai "Msanii at work" Abou Saydou, tambua hawa ndio wasanii tunaowataka. Sio kama wale walioko magogoni kila muda ni kukenua meno tu kanakwamba kunamashindano ya kutabasamu duniani..!!!

Njoo uone uzuri wa wasanii wa ukweli hapa Mbeya then ukasimulie kwenu Msoga au kule Lindi.

BACK TANGANYIKA

Una akili ukubwa wa kisoda ww !!
Kwanza ujui comment angu Ina maana gani

Pili umehitimisha kwa kusema kwetu msoga na Lindi
Je una uwakika mkuu natokea maeneo ayo?
 
Last edited by a moderator:
mkuu piga hata ngumi za uso, naona zote ni below the belt! Nahisi machungwa yake yashakuwa ndimu sasa

heshima kwako respect wa boda

Hahahahahah mkuu Nyakageni pamoja sana mkuu. Hawa jamaa wanakela sana mtu anatuonyesha kazi na mafanikio ya Mbunge linatoka jitu lilikotoka kuja kuvuruga mjadara..!! bora ingekuwa labda kagaribu tungesema sawa lakini Maskini ya Mungu alichokifanya Sugu hakijawahi kufanywa na Mbunge yeyote tangu kuumbwa kwa hii dunia.!!

Katikati ya Furaha hiyo linakuja li-mtu eti "Msanii at work"..!!!! hivi zinamtosha kweli huyu.?

Heshima kwako pia Nyakageni.

Ni kweli Kamanda.

Sugu ametisha kwa kiwango kikubwa
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahah mkuu Nyakageni pamoja sana mkuu. Hawa jamaa wanakela sana mtu anatuonyesha kazi na mafanikio ya Mbunge linatoka jitu lilikotoka kuja kuvuruga mjadara..!! bora ingekuwa labda kagaribu tungesema sawa lakini Maskini ya Mungu alichokifanya Sugu hakijawahi kufanywa na Mbunge yeyote tangu kuumbwa kwa hii dunia.!!

Katikati ya Furaha hiyo linakuja li-mtu eti "Msanii at work"..!!!! hivi zinamtosha kweli huyu.?

Heshima kwako pia Nyakageni.

BACK TANGANYIKA

Again Msanii at work
 
Last edited by a moderator:
Una akili ukubwa wa kisoda ww !!
Kwanza ujui comment angu Ina maana gani

Pili umehitimisha kwa kusema kwetu msoga na Lindi
Je una uwakika mkuu natokea maeneo ayo
?

Mkuu with all due respect, (ref kwenye red) Ungekuwa na maana yenye MAANA usingeificha ili tupate kuelewa, Vinginevyo umejibiwa kutokana na ulivyoandika.!!

Ulilenga kudhalilisha, Umedhalilika..!! what else??

Msanii tunayemjua hapa Mbeya ni Mr 2 proud. aka Sugu.
Hapo imeonyeshwa kazi ya Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi siyo Msanii Sugu huo "Usanii at work" umetoka wapi.??

Hapo kwenye blue watu wa maeneo hayo wanafahamika kwa Majungu,kujadiri watu badala ya kazi zifanyazwo na hao watu.!! Hivyo sijapa shida kujua unatokea wapi.!! Kama nimekosea sorry. Ila nina imani haitakuwa Mbeya,Mwanza,Arusha wala maeneo ya watu wanaojitambua.

Niko pembeni hapa.!

Hata title imewekwa neno sugu,
Sugu ni msanii au autaki ?

Arusha wana akili !! kuripuana mabomu kupigana wao kwa wao kisa ardhi, kulifuga fisad kama Eddo ndio akili unazozizungumzia?

Uko mwanza c ndipo wanapotokea mafisad kama chenge alafu unasema kuna watu wenye akili ?

Mbeya napo wanatoka wenye akili unazungmzia kungonoka na madereva wa maroli yaendayo nje ?

Hivi nani aitaki amani ya Pwani ,Lindi na maeneo ya jirani ?
Ayo maeneo japo co mwenyeji wao cjackia wakimuua albino wala kikongwe wala mafisadi izi ndio akili tunazoitaji co akili za kutoana roho cc kwa cc

Nimekipnda kilichofanywa na msanii sugu ndio mana nikasema "msanii at work"
 
kwa suala la barabara za lami na ujenzi wa madaraja kwa kweli nampa big up. mnyongen lakin anapostahili apewe jaman
 
Ameshatekeleza ahadi zake kwa asilimia ngapi? Au ndio anaanza kwa ajili uchaguzi u karibu?

Mwenyekiti wako 2010 alitoa ahadi ya kuigeuza kigoma kuwa dubai ya tanzania leo kiko wapi? Alitoa ahadi ya kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa pale kajunguti mkoani kagera!, leo uko wapi? Aliahidi kununua meli mpya ktk ziwa victoria leo kiko wapi? Wewe kama mkereketwa wa ccm angalia swali la kuuliza upande wa pili.
 
Hata title imewekwa neno sugu,
Sugu ni msanii au autaki ?

Arusha wana akili !! kuripuana mabomu kupigana wao kwa wao kisa ardhi, kulifuga fisad kama Eddo ndio akili unazozizungumzia?

Uko mwanza c ndipo wanapotokea mafisad kama chenge alafu unasema kuna watu wenye akili ?

Mbeya napo wanatoka wenye akili unazungmzia kungonoka na madereva wa maroli yaendayo nje ?

Hivi nani aitaki amani ya Pwani ,Lindi na maeneo ya jirani ?
Ayo maeneo japo co mwenyeji wao cjackia wakimuua albino wala kikongwe wala mafisadi izi ndio akili tunazoitaji co akili za kutoana roho cc kwa cc

Nimekipnda kilichofanywa na msanii sugu ndio mana nikasema "msanii at work"

Chenge sio mbunge wa mwanza na anatoka nje ya mkoa wa mwanza.tulia
 
Back
Top Bottom