Joseph Mbilinyi (Sugu) anastahili pongezi

Joseph Mbilinyi (Sugu) anastahili pongezi

Standalone

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2014
Posts
676
Reaction score
576
Joseph Mbilinyi(MB) mbunge wa Mbeya Mjini amekuwa mastari wa mbele sio tu kwa kueneza elimu ya Uraia ndani ya Mkoa wa mbeya bali kwa kutekeleza ahadi zake kama mbunge...

Tuungane pamoja kumpongeza kwa kazi nzuri ambayo haiihitaji uprofesa kuona.

Pichani chini: Mbunge Sugu akiendelea na zoezi la kufunga kompyuta mashuleni, hapa ni sekondari ya Iganzo jimboni kwake Mbeya.

10922662_1526153654327361_6568554939138409783_n.jpg

Pichani juu: Hapa ni shule ya secondary Mwakibete
 
safi sana kamanda ccm wao ni kufukuza wanafunzi tu wanaodai haki zao
 
Kazi nzuri sana Sugu.Hii ndiyo Chadema.Hawa ndiyo wabunge wa Chadema
 
Kazi aliyoifanya Sugu Mbeya hakuna Mb yeyote atakayeweza kuifikia, Jamaa anapiga kazi kimya kimya hanamajigambo. Kinachoonekana ni kile anachokifanya.

Halafu we unayedai "Msanii at work" Abou Saydou, tambua hawa ndio wasanii tunaowataka. Sio kama wale walioko magogoni kila muda ni kukenua meno tu kanakwamba kunamashindano ya kutabasamu duniani..!!!

Njoo uone uzuri wa wasanii wa ukweli hapa Mbeya then ukasimulie kwenu Msoga au kule Lindi.

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
picha iko wapi wewe
Joseph Mbilinyi(MB) mbunge wa Mbeya Mjini amekuwa mastari wa mbele sio tu kwa kueneza elimu ya Uraia ndani ya Mkoa wa mbeya bali kwa kutekeleza ahadi zake kama mbunge... Tuungane pamoja kumpongeza kwa kazi nzuri ambayo haiihitaji uprofesa kuona. Pichani chini: Mbunge Sugu. Akiendelea na zoezi la kufunga kompyuta mashuleni, hapa ni sekondari ya Iganzo jimboni kwake mbeya.
10922662_1526153654327361_6568554939138409783_n.jpg
 
Kazi aliyoifanya Sugu Mbeya hakuna Mb yeyote atakayeweza kuifikia, Jamaa anapiga kazi kimya kimya hanamajigambo. Kinachoonekana ni kile anachokifanya.

Halafu we unayedai "Msanii at work" Abou Saydou, tambua hawa ndio wasanii tunaowataka. Sio kama wale walioko magogoni kila muda ni kukenua meno tu kanakwamba kunamashindano ya kutabasamu duniani..!!!

Njoo uone uzuri wa wasanii wa ukweli hapa Mbeya then ukasimulie kwenu Msoga au kule Lindi.

BACK TANGANYIKA

mkuu piga hata ngumi za uso, naona zote ni below the belt! Nahisi machungwa yake yashakuwa ndimu sasa

heshima kwako respect wa boda
 
Last edited by a moderator:
Ameshatekeleza ahadi zake kwa asilimia ngapi? Au ndio anaanza kwa ajili uchaguzi u karibu?
 
Back
Top Bottom