Joseph Mbilinyi Mbunge wa Mbeya Mjini, amuonya Bashiru Ally

Tume huru nyama uchaguzi ndio itaweka kila kitu kwenye mstari sahihi. Ccm nunueni sana wapinzani hasa cdm, ila tume huru ya uchaguzi ndio habari mjini.
 
Chama cha siasa kinachotumia hila ya kununua waliochaguliwa na wananchi kwa kukitaa ni mfu. Hasira ya wananchi inazidi dhidi ya chama hicho. Mpango huu utakigharimu zaidi ya gharama ya fedha zinazotumika katika kushawishi usaliti.
 
Back
Top Bottom