Walishangilia walijua amewaletea viroba na bange,, vijana wa mbeya ni wahuni wamemshangilia mhuni mwenzao
Ina maana kila kijana anayetokea Mbeya an anayeishi Mbeya ni muhuni? Tumia busara ndugu
Walishangilia walijua amewaletea viroba na bange,, vijana wa mbeya ni wahuni wamemshangilia mhuni mwenzao
vijana wa mwanjelwa,uyole, mwanahapa ni wahuni wapiga nondo.. wanamshangilia muhun mwenzao
umesomekaMbna unajichanganya mkuu,umesema alivyo ingia uwanjani alishangiliwa,alafu mwsho kabsa unasema anataka kutoka kupitia soka,nadhani kama angekua ajatoka kama unavyosema,alivyoingia uwanjani mwinzoni ata hasingeshangiliwa..sugu ni rais wa mbeya wala aitaji soka kutoka,alishatoka kitambo..
chadema ni chama watu makini
2015, chagueni wabunge vijana tu, akina momose cheyo, mrema wasirudi bungeni!