yeah kuna chakujifunza hapa, kama kweli alimuuma baba yake wa kambo basi dunia ni mbaya sana Mungu ni rafiki yako wa pekee. laurent alimpenda sana huyu kijana lakin ndo ivo tena laurent inasemekana alimuua baba yake joseph wakiwa vitani, hawa waliwahi kuwa marafiki baada ya vita kuwa mbaya na kushindwa kwa kiasi kikubwa laurent akahisi christoper (baba halis wa joseph) anamsalito akaaamua kumuua na kila alipoulizwa alikua anatoa sababu kibao so naona msemo ulitimia kwamba malipo ni hapa hapa duniani
na imani huyu dogo alifanya njama za kuumuua baba yake wa kambo, the late laurent!! pia malipo ni hapa hapa duniani tuu maana laurent pia alimuua baba mzaz wa huyo joseph sababu alihisi anamsaliti halaf kama haitoshi akamchukua na mkewe akammiliki, na akawachukua jose na dada yake ambaye ni pacha kisha akawalea kama wanae, kilichokuja kutokea anafahamu huko mbinguni/motoni.
Hakuna cha bahati hapo, kila kitu kilipangwa na kikapangika.
Gharama ya kupata cheo cha urais wa Kongo DRC ni kubwa mno kuliko uhai wa mamilioni ya wakongo.