Joseph Kabila enzi hizo

yah mshkaji katoka mbali,sa hivi anakula bata ingawa wacongo hawammind hata kidogo wanadai ni mnyarwanda
 
kweli bwana hakuna linalo shindikana huku duniani bwana..! na hii inatoa sana hamasa kwa vijana walioko mashuleni na vyuoni..! don't loose hope...!
 
Hivi uraia wake DRC uko sawa?
...jamaa sa ivi ana hali ngumu sana sijui kama atapita uchaguzi. Wameshamstukia uraia wake...nenda you tube utaona kuna clip inayoonyesha jamaa wanajifutia miguu picha yake kama door mat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…