niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,678
- 5,492
kumbe madaraka matamu, maana wengine wanayaachia shingo upande na wengine hawataki kabisaa.
Kweli mkuu sisi Wa-Efrika (kwa sauti ya Mwinyi) tuna matatizo ya akili ukishaingia ikulu akili inahamia ma.ta.koni! Kabila is another Nkurunziza in the making, also he is another Ali Mohamed Shein in the making! Aibu yao aibu yetu!Viongozi wa afrika ni matatizo matupu
Ha ha ha mkuu aibu yetu sote watu weusi, bila kumsahau PK hali kadhalika Mugabe yaani shidaKweli mkuu sisi Wa-Efrika (kwa sauti ya Mwinyi) tuna matatizo ya akili ukishaingia ikulu akili inahamia ma.ta.koni! Kabila is another Nkurunziza in the making, also he is another Ali Mohamed Shein in the making! Aibu yao aibu yetu!
Awakamate kwanza Viongozi waliokaa madarakani zaidi ya miaka kumi na tano, hasiwapeleke the Hague wawekwe kizuizini huko Guatenamo Cuba watiwe akili kwanza.