Kiongozi chanzo changu cha habari ni CNN inavyoonekana bado kuna mkanganyiko kuhusu kuondoka kwa Mourinho Chelsea .lakini kuna kila dalili kuwa ataacha kuifundisha club hiyo whether kwa kupenda au hata asipopenda.ngoja niendelee kutafuta usahihi wa habari zaidi.
yah! true ila jn tulcheza bla kiungo mkabaj south'ton wakawa wankj tu,pigwa mbili z fasta ,matic kaingia kpnd cha 2 dakka km y 65 hv kamtoa kaingia remy. ila wachezaj hawaonyesh ktaka kushnda "nahc inxh y doctor hawakupenda"
Mwaka jana kachukua ubingwa.msimu huu kafungwa mechi kadhaa tuu anajiudhuru wenger haoni ilo nae si aondoke watu wanataka soka safi bila mafanikio..wanafungwa na olimpiacos nyumbani yy yupo tuu..
mtu hafukuzwi nyumbani kwake labda aondoke mwenyewe kwa kupenda....alipo wenger ameshiriki kupajenga ila alipo mourinho amejengewa; in short huwezi kumfukuza kirahisi mke uliyejenga nae nyumba ila ni maamuzi rahisi kabisa kumfukuza mke aliyekukuta na kila kitu
No way I resign. No way. Why? Because Chelsea cannot have a better manager than me, he told reporters at his post-match media conference.
There are many managers in the world that belong to my level but not better. Not better. So no chance I run away. Why? For two reasons. One, I have my professional pride and I know that I am very good at my job. Secondly because I like this club very much.
If that's not the case then it could be different. In the accumulation of these situations I want the best for my club and the best for my club is for me to stay so I stay. When we were champions I say I will stay until the owner and board want me to leave.
Despite links with PSG, Mourinho also says that he will not leave Stamford Bridge to join another club, insisting no club or financial offer can persuade me to leave.
I'm going to stay until the owner and board say 'Jose it is enough', he added. I say that when I am champion, I say that when I am 16th or 17th in the table. [h=3]Leave a comment[/h]
Wakuu naomba kusahihisha habari hii ni kwamba Kocha ameelezea kuwa hana sababu ya kujiuzulu ( no way he will resign) kipande cha habari nilichokipata through CNN nilikitafsiri tofauti.
Wakuu naomba kusahihisha habari hii ni kwamba Kocha ameelezea kuwa hana sababu ya kujiuzulu ( no way he will resign) kipande cha habari nilichokipata through CNN nilikitafsiri tofauti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.