Jose Mourinho afukuzwa kazi Tottenham

Morrinyo anatumia mbinu za kizamani, afu anategemea ushindi wa kisasa.

Namfananisha na Jiwe,
Upembuz yakinifu wa mwaka 1970, anautumia ktk utekelezaji mwaka 2020
 
Morrinyo anatumia mbinu za kizamani, afu anategemea ushindi wa kisasa.

Namfananisha na Jiwe,
Upembuz yakinifu wa mwaka 1970, anautumia ktk utekelezaji mwaka 2020
Ukae ukijua spurs vs mancity fainali carabao kwa mpira huo unaouita wa kizamani
 
Wenzangu wa Arsenal mmeona watani wetu walichoamua? Na huyu ni kocha ambaye Arsenal tulimtaka pia na baadhi wakajuta kumkosa.

Anyway, Mourinho hakuacha kua Mourinho hata pale ilipokua haina haja. Kuongelea mbovu timu pinzani, waandishi mpaka wachezaji wake mwenyewe.

Spurs waliwapiga Dinamo mbili first leg kisha Spurs ikapigwa tatu second leg na kutolewa Europa, Jose akaenda dressing room ya Dinamo akawapa mkono wa pongezi na kuwapigia makofi.

Baadaye kidogo sauti yake ikanaswa ikimtishia Bale kua atamrudisha Madrid akale benchi. Now Bale alivyoondoka Spurs kwa miaka yote Spurs wamesajili watu wa kumreplace Bale ila hawajafanikiwa, Lamela na Moura ni cover up zilizofeli, so kwa Spurs Bale kurudi tena it was a dream come true.

And Mourinho spat on that dream. It was just a matter of time before hajaonyeshwa mlango.

Pogba amenukuliwa akimkosoa Mourinho na kusema bora Ole, yaani Mourinho ni muua morali mzuri kwa maoni ya Pogba. Takwimu pia zinaonyesha Spurs haijawapa chansi wachezaji wa U21 hata mmoja tangu Mou aje, this means Mou hana mpango wa kusuka timu ya muda mrefu, anatarajia mpunga ushushwe anunue watu waanze maisha.

Jose hakua na maono ya muda mrefu na Spurs.

Arteta alishamuweka kando Luiz na Auba. Ila spirit ya timu ingawa haipo juu ila haipo chini kwakua Arteta hajawahi waongelea negatively wachezaji wake, at least not in public. Either way hii ni shout out kwa Arteta pia.
Hivi aliyeanza kumchezesha Tanganga ni nani? wachambuzi wengine ni uchwara tu.
 
Back
Top Bottom