Wakuu habari. Sasa leo ni zaidi ya wiki kadhaa huwa namsikia huyu kijana wetu na ni msanii wa muziki wa dance JOSE MARA WA KIMARA kwenye kipindi cha Leo Tena cha clouds fm sasa wandugu naomba kujuzwa je ni mwajiliwa au ni mwalikwa wa kudumu wa kituo hicho.Natanguliza shuklani