Ndugu yangu kwa taarifa yako tu........."Uyahudi" au "Judism" si DINI ni Kabila!!
naomba niulize maswali yafuatayo;
1. Yuda ni jina ambalo lilikuja kuwa ndio kabila kisha Dini, Je wakati wa Ibrahim , Mussa, Yakobo na Issa au Yesu dini ilikuwa ni ipi?
2. Ukristo una uhusiano gani na dini ya Wayahudi? (Judism)
3. Wayahudi na Dini yao, wanamtambua Yesu(Issah) kama nani?
4. Ikirudi Mwana wa Kondoo.......... atawatafuta kondoo gani waliopotea? (wayahudi au Wakristo? au wote wawili na kwa sababu gani?)
5. Je Unamfahamu Uzail ?
Nina hamu ya kujua majibu ya maswali hapo juu(ukijiamini weka andiko kama ushahidi)! isije ikawa wengine wanaingia kwenye sherehe isiyo yao!
Nitakujibu maswali yako yote bila kukopesha:
1. uyahudi au judism si dini ni kabila?...jibu la hapa, ni kwamba, judism ni dini na ndiyo inayoabudiwa na wayahudi leo hii kule israel..cha kuelewa ni kwamba, haijalishi Juda/Yuda alikuwa kabila mojawapo la israel,cha maana ni kwamba, Yuda/Juda ndo uzao ambao Mungu aliuteua kuwa uzao utakaompitisha Kristo, ila Juda kama Juda alikuwa mmojawapo wa watoto wa Jacob/Israel kumi na mbili ambao walitengeneza makabila kumi na mbili ya israel.
kilichotokea ni kwamba, dola ya israel, even before the existence of the Palestinian/arabs, walishaingia kwenye civil war, walitengana sana kipindi cha mfalme Jeroboam na Yeroboam kwasababu ya dhambi aliyoifanya Solomon ya kuabudu miungu ya wafilisti ambao ndo wapalestina (kwasababu alienda kuoa wake huko)...kwa muda mwingi, israel iligawanyika kwenye dola mbili, juu kuliitwa israel na chini kuliitwa Yuda, na ndo Judea hadi leo....sasa kule Yuda walikuwa wanamwabudu Mungu wa kweli mara zote, ndo maana jina lao lilibakia kuwa wa imani hadi leo..kule kaskazini ambako walikuwa wamepakana nawa lebanon etc, waliiga kuabudu mabaal ambayo ndo walikuwa miungu ya waarabu ndugu zenu.
2.wakati wa Ibrahim, Isaka na Yakobo...(sisi hatuna Issa)..issa lipo kwenye koran tu...hakukuwa na dini...jua kuwa dini ni chama tu ila haimfikishi mtu mbinguni...cha maana ni kwamba,wakati huo walikuwa wanamwabudu Mungu, ila hakukuwa na dini kama ukristo, uyuda au uislam...they were just worshiping God...dini kama vyama vya wafuasi wa mlengo fulani, zilikuja badaye kwa waisrael.
3. uelewe kuwa, waarabu wote, wafilist (walebanon) na wengine wote, kipindi israel inamwabudu Mungu, walikuwa wanaabudu miungu mingine, mabaal na miungu ya kuchonga kama wahindi...hadi kipindi cha Yesu bado walikuwa hivyo tu, ni waabudu mashetani. PIA WALIKUWA HAWATAHIRI...waisrael tu ndo walikuwa wanatahiri...watoto wa ishmael nao walianza kutahiri wakawaambukiza waarabu (jua kuwa si waarabu wote ni watoto wa ishmael mwana wa ibrahim).
4. wayahudi na dini yao wanamtambua Yesu kama mtu wa kawaida tu, nabii wa kawaida tu. hiyo si hoja...pili, point of correction, YESU HAITWI ISSA...isa ni jina la kuran ambalo mnalitaja kwasababu mnaogopa mkitaja Yesu mtaunguza majini...Yesu haitwi Issa...ukisema kwajina la issa majini toka hayatoki, ukisema kwa Jina la Yesu majini toka yanatoka mkuku, so msikitini nyie mkitaja Yesu, mnajitakia mabaya, majini yatawakimbia..ndo maana mnataja issa..hatuna issa sisi wakristo na hatumwamini issa wenu..tunamwamini Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai.
5.mwanakondoo anawatafuta kondoo wote duniani waliopotea, wakristo kwa waislam, wayahudi kwa wahindu, everybody. anakutafuta hata wewe.
6. simfahamu Uzail. kwenye Bible hayupo...anaweza kuwepo kwenye kuran..lakini kwasababu koran ni kitabu ambacho shetani alikitunga ili kuja kupotosha Bible,...mtakuwa mnaambiwa mengi huko misikitini..ila ukweli unajulikana...na kwa Jina la Yesu mtapiga goti tu. la sivyo, ninyi na majini yetu mtakweda motoni.