Jordan is Palestine

Jordan is Palestine

Kihistoria ya siku za karibuni, hicho kipande cha dunia kimekuwa kikibadilishwa jina na kutawaliwa na watu mbali mbali. Mfano hii hapa chini ni bendera ya nchi iliyokuwa inaitwa "The British Mandate for Palestine" ambayo ndiyo iligeuzwa na kuitwa Israel ya sasa (mwaka 1948). Kabla ya hapo ilitawaliwa na Waturuki (ilikuwa ni sehemu ya Ottoman Empire). Ila siku zote wakazi wake asilia ni Wayahudi + pockets za Waarabu
Samahani kaka historia yako ina udhaifu kidogo.
A) Palestina ya Kiingereza haikuendelea kama dola la Israel. Iligawiwa na Umoja wa Mataifa kuwa sehemu 2: ya kiyahudi (>Israel) na ya Kiarabu (iliyotwaliwa baada ya vita ya 1948 na Misri = Gaza na Jordani=sehemu magharibi ya mto Jordan). ling. United Nations Partition Plan for Palestine - Wikipedia, the free encyclopedia

B) Kuhusu wakazi asilia: sehemu hizi hakuna "asilia" kwa maana hii yaani katika historia ndefu wenyeji walibadilisha utamaduni na dini mara kadhaa. (Waarabu Wapalestina wengi wa leo ni wajukuu wa Wayahudi wa siku za Yesu waliokuwa Wakristo baadaye halafu Wasilamu na kutumia Kiarabu)

Kabla ya 1914 wakazi wengi walikuwa Waarabu (Waislamu na Wakristo) pamoja na Wayahudi wachache ("pockets" ukipenda).
Tangu uhamiaji wa Kizionisti idadi ya Wayahudi iliongezeka polepole hadi kufikia 1/3 ya wakazi maana idadi ya wayahudi ilikuwa nusu ya Waarabu mwaka 1947.
C) Wakati wa vita ya 1947/48 Waarabu walifukuzwa au kukimbia ni wachache waliobaki kama 15% za wakazi wa nchi ya Israel.
D) Idadi hii ya raia Waarabu ndani ya Israel imeongezeka kuwa karibu 25% kwa sasa wengine Wayahudi au wenye asili ya Kiyahudi.
E) Nje ya hayo Waarabu wanaoishi katika sehemu za Kipalestina chini ya utawala wa Kijeshi wa Israeli na kanda la Gaza.
 
Hatukuzwi mtu wala kabila lake! tumeumbwa kwa makabila tofauti ili tujuwane tu! Kila jina la nabii kama nilivyotaja hapo juu, sisi (waislam) tukilitaja basi mbele yake tunamuombe! Mfano: Mussa A.S (aliy salatu wasalaam), Issah bin Mariam ( Aliy salatu wasalaam) maana yake Amani ya mwenyezi mungu na iwe juu yake ! ATUKUZWAE ni MUNGU TU!! hatuna shughuli na kabila la mtu!

Unamwombea mtu aliekufa ili iweje?
Kama unataka kuanzisha mada nyingine ya kuombea wafu ipeleke kule kwenye jukwaa la dini, Utajibiwa barabara. Hapa tunajadili kuhusu the so called 'Palestinian Mith'.
 
Embu tueleze Israel ilikuwa wapi kabla 1948?

Isra-Hell

Soon is gona die natural death..

Ukiona taifa linalazimisha existence yake karibia linakufa..
 
Samahani kaka historia yako ina udhaifu kidogo.
A) Palestina ya Kiingereza haikuendelea kama dola la Israel. Iligawiwa na Umoja wa Mataifa kuwa sehemu 2: ya kiyahudi (>Israel) na ya Kiarabu (iliyotwaliwa baada ya vita ya 1948 na Misri = Gaza na Jordani=sehemu magharibi ya mto Jordan). ling. United Nations Partition Plan for Palestine - Wikipedia, the free encyclopedia

B) Kuhusu wakazi asilia: sehemu hizi hakuna "asilia" kwa maana hii yaani katika historia ndefu wenyeji walibadilisha utamaduni na dini mara kadhaa. (Waarabu Wapalestina wengi wa leo ni wajukuu wa Wayahudi wa siku za Yesu waliokuwa Wakristo baadaye halafu Wasilamu na kutumia Kiarabu)

Kabla ya 1914 wakazi wengi walikuwa Waarabu (Waislamu na Wakristo) pamoja na Wayahudi wachache ("pockets" ukipenda).
Tangu uhamiaji wa Kizionisti idadi ya Wayahudi iliongezeka polepole hadi kufikia 1/3 ya wakazi maana idadi ya wayahudi ilikuwa nusu ya Waarabu mwaka 1947.
C) Wakati wa vita ya 1947/48 Waarabu walifukuzwa au kukimbia ni wachache waliobaki kama 15% za wakazi wa nchi ya Israel.
D) Idadi hii ya raia Waarabu ndani ya Israel imeongezeka kuwa karibu 25% kwa sasa wengine Wayahudi au wenye asili ya Kiyahudi.
E) Nje ya hayo Waarabu wanaoishi katika sehemu za Kipalestina chini ya utawala wa Kijeshi wa Israeli na kanda la Gaza.

Hapo nimeelimika. Sasa bila kurespond kishabiki, naomba kudiscuss hoja ya kuwa 'Taifa la Israel' lilipewa nchi ya ahadi na 'mungu wa Israel'. Je hoja hii ina mshiko wowote katika set-up ya ulimwengu wa sasa. Kwa mantiki hiyo kila jamii leo hii ikiclaim rights of land kwa kutumia ahadi au maandiko ya BC je itakuwa na uhalali wowote kisheria?. Nadhani ndio maana ikaundwa United Nations kusettle issues kama hizi. 'Taifa la Israeli' ni moja ya mataifa ya mwanzo kuanza kupata settlement ya aina hii ingawa inasemekana UN yenyewe ilifanya makosa. Hata waisrael wenyewe walikuwa hawana hoja ya kisheria ya kusettle hapo walipo. Kwa sababu sehemu hiyo ilishaexchange authorities mara kadhaa kiasi cha kuwa eneo hilo kupoteza valid identity ya kitu kama 'Israel'. Hata ndani ya waisrael wa sasa wanatofautiana sana na dhana ya uundwaji wa taifa la Israel la kizayuni kwani kwa kufanya hivyo ni kuunda taifa kwa misingi ya kibaguzi. Hoja ya sasa kuwa Palestine ni Jordani ni baadhi ya mishiko dhaifu ya kutaka kujustify uovu wa kuanzishwa kwa Israel. Mbona kwa muda wote huo tangu 1948 hoja hii ilikuwa wapi??:teeth::embarrassed::redfaces:
 
Unamwombea mtu aliekufa ili iweje?
Kama unataka kuanzisha mada nyingine ya kuombea wafu ipeleke kule kwenye jukwaa la dini, Utajibiwa barabara. Hapa tunajadili kuhusu the so called 'Palestinian Mith'.
hiyo post yangu inafafanua kuhusu mtu na kabila la mtu, so usijifanye hamnazo bwana!
 
Unasahau kuwa Jews wamekua wakiishi katika hilo eneo for thousands of years. Sasa iweje wasiwe na haki y a kuunda taifa lao? Hata kama walipigwa na kutawanyika kila mahali ulimwenguni mwote lakini ni ukweli kwamba wapo wengi tu waliosalia na walioendelea kuishi katika hilo eneo wakiendeleta tamaduni zao na dini yao.

Mfano Mzuri ni Iraq, Pamoja na kwamba wamepigwa na wengi kukimbia nchi yao lakini ukweli unabakia kuwa bado nchi ile ni ya wa Iraq na hata walioondoka wana haki ya kurudi katika nchi yao. Mfano mwingine ni Somalia, Hata pamoja na kwamba wengi wameikimbia nchi yao, itakua ni wendawazimu kusema kua wasomali waliobakia hawana haki ya kuwaita ndugu zao warudi kuja kuendeleza Somalia. Ulitaka na Tanzania ilipopigana na Waganda iwaondoe waganda na kuwakatalia watoto wao wasirudi katika nchi yao? Ni sheria ipi inayosema nchi ikishapigwa kivita haina ruhusa raia wake kurudi tena katika nchi yao?

Nashangaa wanaodiriki kusema Israeli haina uhalali wa kukaa katika nchi yao, wanatumia kigezo gani? Iweje leo museme eti hawana uhalali wa kuishi katika eneo ambalo wamelikalia kwa miaka yote hii.

Hao waarabu wanaojiita wapalestina kutoka Jordan, Misri na Yemen ndio wavamizi waliovamia eneo hilo japo waliwakuta wayahudi wakiishi huko, Kwa vile Waisraeli walikuwa weakened kwa sababu ya kupigwa ndio maana walikuwa overpowered na waarabu kwa sababu ya wingi wao lakini bado hii haiondoi uhalali wao wa asili wa kuishi katika eneo hilo.
Wavamizi ni waarabu walioenda kuingilia eneo lenye watu na kuling'ang'ania.

Acheni double Standards na kendekeza unafiki wa Kiarabu na ushabiki usio na kichwa wala mkia. Hii yote ni kujiingiza kushabikia chuki za waarabu dhidi ya Jews. Hili liko wazi kuwa Waarabu wanawachukia Jews na mwanzilishi wa chuki hizi tunamjua na sababu ya chuki hii inajulikana.
 
Unamwombea mtu aliekufa ili iweje?
Kama unataka kuanzisha mada nyingine ya kuombea wafu ipeleke kule kwenye jukwaa la dini, Utajibiwa barabara. Hapa tunajadili kuhusu the so called 'Palestinian Mith'.
1. Ndio huwa tunawaombe watu waliyo tangulia mbele za haki (kufa), kwa kawaida siku kuu zote kubwa za Kiislaam (Idd el Haj, au Fetr) baada ya kuswali asubuhi tendo muhimu ambalo hufuatia aidha kuzuru makaburi na kuombea dua nduguzako au kufanyia hiyo shughuli majumbani kwa kutaja majina yao ! pengine nikuulize misa ya kuwaombea wafu huwa ni ya nini?
2. Pia mtundiko wangu (post) niliweka kufuatia post ya mchangiji mwingine na ndio maana kuna utaratibu wa kuweka mtundiko (post) wa unayekusudia kumjibu sambamba na jibu lako.
Utaelewa tuu, hata kama unajifanya hamnazo!
 
Unasahau kuwa Jews wamekua wakiishi katika hilo eneo for thousands of years. Sasa iweje wasiwe na haki y a kuunda taifa lao? Hata kama walipigwa na kutawanyika kila mahali ulimwenguni mwote lakini ni ukweli kwamba wapo wengi tu waliosalia na walioendelea kuishi katika hilo eneo wakiendeleta tamaduni zao na dini yao.

Mfano Mzuri ni Iraq, Pamoja na kwamba wamepigwa na wengi kukimbia nchi yao lakini ukweli unabakia kuwa bado nchi ile ni ya wa Iraq na hata walioondoka wana haki ya kurudi katika nchi yao. Mfano mwingine ni Somalia, Hata pamoja na kwamba wengi wameikimbia nchi yao, itakua ni wendawazimu kusema kua wasomali waliobakia hawana haki ya kuwaita ndugu zao warudi kuja kuendeleza Somalia. Ulitaka na Tanzania ilipopigana na Waganda iwaondoe waganda na kuwakatalia watoto wao wasirudi katika nchi yao? Ni sheria ipi inayosema nchi ikishapigwa kivita haina ruhusa raia wake kurudi tena katika nchi yao?

Nashangaa wanaodiriki kusema Israeli haina uhalali wa kukaa katika nchi yao, wanatumia kigezo gani? Iweje leo museme eti hawana uhalali wa kuishi katika eneo ambalo wamelikalia kwa miaka yote hii.

Hao waarabu wanaojiita wapalestina kutoka Jordan, Misri na Yemen ndio wavamizi waliovamia eneo hilo japo waliwakuta wayahudi wakiishi huko, Kwa vile Waisraeli walikuwa weakened kwa sababu ya kupigwa ndio maana walikuwa overpowered na waarabu kwa sababu ya wingi wao lakini bado hii haiondoi uhalali wao wa asili wa kuishi katika eneo hilo.
Wavamizi ni waarabu walioenda kuingilia eneo lenye watu na kuling'ang'ania.

Acheni double Standards na kendekeza unafiki wa Kiarabu na ushabiki usio na kichwa wala mkia. Hii yote ni kujiingiza kushabikia chuki za waarabu dhidi ya Jews. Hili liko wazi kuwa Waarabu wanawachukia Jews na mwanzilishi wa chuki hizi tunamjua na sababu ya chuki hii inajulikana.
Hitler na watu wa Ulaya ndio wanawachukia Waisrael !
 
1. Ndio huwa tunawaombe watu waliyo tangulia mbele za haki (kufa), kwa kawaida siku kuu zote kubwa za Kiislaam (Idd el Haj, au Fetr) baada ya kuswali asubuhi tendo muhimu ambalo hufuatia aidha kuzuru makaburi na kuombea dua nduguzako au kufanyia hiyo shughuli majumbani kwa kutaja majina yao ! pengine nikuulize misa ya kuwaombea wafu huwa ni ya nini?
Nimekuambia anzisha thread nyingine kama unataka kujadili hii mada ya kuombea wafu, usichanganye Madesa tafadhali, au unaogopa? Usiogope wee anzisha tu utajibiwa
 
Hitler na watu wa Ulaya ndio wanawachukia Waisrael !
Kwa hiyo unataka kuniambia kua Waarabu wanawapenda Waisraeli? Au ndio wanataka wanamalizia ile kazi aliyoshindwa kufanya Hitler? Naona wanajitahidi sana kufanya kuwa na ufanisi katika kutekeleza dhamira yao.
 
Suala la Palestina na Israel acheni kulijadili kiupambe tu. Suala hili ni gumu sana inahitaji uvumilivu wa hali ya juu. Maana hawa wote Israeli na Palestina wanatoka mbali yaani kwa Ibrahimu/Abraham. Jiulize Ibrahimu alitoka wapi? Na je kipindi anahamia hapo Yerusalemu hakukuwepo na mtu? Je Israeli ni nani? Halafu angalia dunia ilikuwaje enzi hizo? Je wabantu nao warudi Kameruni kwa sababu walikuwa wanaishi huko? Je ni nani mwenye kwao katika Tz? Basi weusi wa Marekani nao warudi kwao!! Wazungu wa Marekani nao warudi kwao!! Warabu wa Afrika nao warudi kwao!!!! Nani atabaki? Na wapi hapo?
Suala la Mashariki ya Kati linahitaji uvumilivu na utashi mkubwa sana katika kufanya maamuzi au kujadili.
 
Nimekuambia anzisha thread nyingine kama unataka kujadili hii mada ya kuombea wafu, usichanganye Madesa tafadhali, au unaogopa? Usiogope wee anzisha tu utajibiwa
We ni kichwa maji ! .................. ndio maana ukilala ukiamka ni Waisraeli, waisraeliiiiiii, waisraeliiii, vp mwenzetu?! naona unatamani hata kuzaa nao ! pole !
 
Suala la Palestina na Israel acheni kulijadili kiupambe tu. Suala hili ni gumu sana inahitaji uvumilivu wa hali ya juu. Maana hawa wote Israeli na Palestina wanatoka mbali yaani kwa Ibrahimu/Abraham. Jiulize Ibrahimu alitoka wapi? Na je kipindi anahamia hapo Yerusalemu hakukuwepo na mtu? Je Israeli ni nani? Halafu angalia dunia ilikuwaje enzi hizo? Je wabantu nao warudi Kameruni kwa sababu walikuwa wanaishi huko? Je ni nani mwenye kwao katika Tz? Basi weusi wa Marekani nao warudi kwao!! Wazungu wa Marekani nao warudi kwao!! Warabu wa Afrika nao warudi kwao!!!! Nani atabaki? Na wapi hapo?
Suala la Mashariki ya Kati linahitaji uvumilivu na utashi mkubwa sana katika kufanya maamuzi au kujadili.
Apeleke hizi Thread (OCTOBER) kwa OBAMA, maana jamaa hana mpya ni hao hao tu ! kama ilo shamba wanalo gombea na Waarabu kaambiwa atagaiwa nusu heka!

Kwa hiyo unataka kuniambia kua Waarabu wanawapenda Waisraeli? Au ndio wanataka wanamalizia ile kazi aliyoshindwa kufanya Hitler? Naona wanajitahidi sana kufanya kuwa na ufanisi katika kutekeleza dhamira yao.
Jifunze kuuliza maswali ! ushanza kunibore na Wayahudi wako ! kutwa wewe ni Wayahudi tuu, huna kitu kingine unaona huku Duniani ? Mara Wayahudi wana Akili sana mara sijui nini ! grow up dude!
 
Umesema Hitler na watu wa Ulaya ndio wanawachukia Waisrael !
Kwa hiyo unataka kuniambia kua Waarabu wanawapenda Waisraeli?
Mbona hujubu hili swali?
 
Kuna Muarabu yeyote alietia Wayahudi kwenye tanuri? kuna Muarabu aliyewahi kuwaua Wayahudi kwa gesi? uliza maswali sio majibu!
Kama kuna ubaya wa Waarabu juu ya Waisraeli useme hapa!
 
Unasahau kuwa Jews wamekua wakiishi katika hilo eneo for thousands of years. Sasa iweje wasiwe na haki y a kuunda taifa lao? Hata kama walipigwa na kutawanyika kila mahali ulimwenguni mwote lakini ni ukweli kwamba wapo wengi tu waliosalia na walioendelea kuishi katika hilo eneo wakiendeleta tamaduni zao na dini yao.

Mfano Mzuri ni Iraq, Pamoja na kwamba wamepigwa na wengi kukimbia nchi yao lakini ukweli unabakia kuwa bado nchi ile ni ya wa Iraq na hata walioondoka wana haki ya kurudi katika nchi yao. Mfano mwingine ni Somalia, Hata pamoja na kwamba wengi wameikimbia nchi yao, itakua ni wendawazimu kusema kua wasomali waliobakia hawana haki ya kuwaita ndugu zao warudi kuja kuendeleza Somalia. Ulitaka na Tanzania ilipopigana na Waganda iwaondoe waganda na kuwakatalia watoto wao wasirudi katika nchi yao? Ni sheria ipi inayosema nchi ikishapigwa kivita haina ruhusa raia wake kurudi tena katika nchi yao?

Nashangaa wanaodiriki kusema Israeli haina uhalali wa kukaa katika nchi yao, wanatumia kigezo gani? Iweje leo museme eti hawana uhalali wa kuishi katika eneo ambalo wamelikalia kwa miaka yote hii.

Hao waarabu wanaojiita wapalestina kutoka Jordan, Misri na Yemen ndio wavamizi waliovamia eneo hilo japo waliwakuta wayahudi wakiishi huko, Kwa vile Waisraeli walikuwa weakened kwa sababu ya kupigwa ndio maana walikuwa overpowered na waarabu kwa sababu ya wingi wao lakini bado hii haiondoi uhalali wao wa asili wa kuishi katika eneo hilo.
Wavamizi ni waarabu walioenda kuingilia eneo lenye watu na kuling'ang'ania.

Acheni double Standards na kendekeza unafiki wa Kiarabu na ushabiki usio na kichwa wala mkia. Hii yote ni kujiingiza kushabikia chuki za waarabu dhidi ya Jews. Hili liko wazi kuwa Waarabu wanawachukia Jews na mwanzilishi wa chuki hizi tunamjua na sababu ya chuki hii inajulikana.

Naona unaelekea kwenye mantiki. Ni vizuri ufahamu kuwa waliotaka kuundwa kwa taifa la Kiyahudi sio wayahudi waliokuwa katika few scaterred settlements kule Palestina bali kilikuwa kikundi na kampuni ya wajariamali waliokuwa Ulaya. Pili ni vizuri kuaddress hoja zote katika mantiki iliyoelezwa katika post no 52, kuwa kila mtu akitaka kurudi katika eneo la jadi how are we going to handle the chaos. Ndio maana mara nyingi maamuzi yanafanywa kuzingatia mambo halisi ya sasa on the ground. Na kwa mantki hiyo Israel inajitahidi kujenga kwa nguvu makazi katika maeneo ya West Bank na kuimport watu kutoka Urusi na Ethiopia ili kuboost population ili hapo baadaye ihalalishe uwepo wake pale kwa kutumia facts on the ground. Hata hivyo juhudi hizi zinazidiwa kwa kasi kubwa zaidi ya ongezeko la idadi ya Wapalestina kwa kuzaliana. Pia ndio maana Waisrael hawataki kabisa kuruhusu wapalestina wakimbizi warudi katika makazi yao ya zamani. Ikiwa wao Waisrael wanataka kurudi kwao kwa nini wanawakatalia Wapalestina wakimbizi wasirudi makwao???. Hizi demographic facts na facts on the ground ndizo zinaumiza vichwa vya Wayahudi mpaka wanabuni hiyo theory kuwa Jordan ni Palestina. Kutumia facts na miths za BC kusettle issues za leo ni kujitoa katika kundi la 'great thinkers' wa leo.
 
Wayahudi wanabana wee iko siku watatoa...ngoja uncle Sam (US) achoke

Ataketi kwa heshima na ndugu (binamu/kaka) yake mwaarabu

Hata siyo siku nyingi sana, hawana lolote ubaguzi, know much, misifa, na jeuri za kijinga zinawasumbua kwa sasa

Wataachia hako kainchi wenyewe usicheza na imani ya kweli mkuu
 
Kuna Muarabu yeyote alietia Wayahudi kwenye tanuri? kuna Muarabu aliyewahi kuwaua Wayahudi kwa gesi? uliza maswali sio majibu!
Kama kuna ubaya wa Waarabu juu ya Waisraeli useme hapa!
Kwani kifo ni mpaka uwekwe kwenye tanuru? Au kifo ni mpaka uuliwe kwa gesi? Mbona Waaarabu wamekua wakiwaua Jews kwa muda mrefu sana? Hitler just copied whet aArabs were doing, He only perfected the methodology used.

Violence Against Jews

At various times, Jews in Muslim lands were able to live in relative peace and thrive culturally and economically. The position of the Jews was never secure, however, and changes in the political or social climate would often lead to persecution, violence and death. Jews were generally viewed with contempt by their Muslim neighbors; peaceful coexistence between the two groups involved the subordination and degradation of the Jews.

When Jews were perceived as having achieved too comfortable a position in Islamic society, anti-Semitism would surface, often with devastating results: On December 30, 1066, Joseph HaNagid, the Jewish vizier of Granada, Spain, was crucified by an Arab mob that proceeded to raze the Jewish quarter of the city and slaughter its 5,000 inhabitants. The riot was incited by Muslim preachers who had angrily objected to what they saw as inordinate Jewish political power.

Similarly, in 1465, Arab mobs in Fez slaughtered thousands of Jews, leaving only 11 alive, after a Jewish deputy vizier treated a Muslim woman in "an offensive manner." The killings touched off a wave of similar massacres throughout Morocco.(6)

Other mass murders of Jews in Arab lands occurred in Morocco in the 8th century, where whole communities were wiped out by Muslim ruler Idris I; North Africa in the 12th century, where the Almohads either forcibly converted or decimated several communities; Libya in 1785, where Ali Burzi Pasha murdered hundreds of Jews; Algiers, where Jews were massacred in 1805, 1815 and 1830 and Marrakesh, Morocco, where more than 300 hundred Jews were murdered between 1864 and 1880.(7)

Decrees ordering the destruction of synagogues were enacted in Egypt and Syria (1014, 1293-4, 1301-2), Iraq (854-859, 1344) and Yemen (1676). Despite the Koran's prohibition, Jews were forced to convert to Islam or face death in Yemen (1165 and 1678), Morocco (1275, 1465 and 1790-92) and Baghdad (1333 and 1344).(8)

As distinguished Orientalist G.E. von Grunebaum has written:
It would not be difficult to put together the names of a very sizeable number of Jewish subjects or citizens of the Islamic area who have attained to high rank, to power, to great financial influence, to significant and recognized intellectual attainment; and the same could be done for Christians. But it would again not be difficult to compile a lengthy list of persecutions, arbitrary confiscations, attempted forced conversions, or pogroms.(9)

The situation of Jews in Arab lands reached a low point in the 19th century. Jews in most of North Africa (including Algeria, Tunisia, Egypt, Libya and Morocco) were forced to live in ghettos. In Morocco, which contained the largest Jewish community in the Islamic Diaspora, Jews were made to walk barefoot or wear shoes of straw when outside the ghetto. Even Muslim children participated in the degradation of Jews, by throwing stones at them or harassing them in other ways. The frequency of anti-Jewish violence increased, and many Jews were executed on charges of apostasy. Ritual murder accusations against the Jews became commonplace in the Ottoman Empire.(10)

By the twentieth century, the status of the dhimmi in Muslim lands had not significantly improved. H.E.W. Young, British Vice Consul in Mosul, wrote in 1909:
The attitude of the Muslims toward the Christians and the Jews is that of a master towards slaves, whom he treats with a certain lordly tolerance so long as they keep their place. Any sign of pretension to equality is promptly repressed.(11)

The danger for Jews became even greater as a showdown approached in the UN over partition in 1947. The Syrian delegate, Faris el-Khouri, warned: "Unless the Palestine problem is settled, we shall have difficulty in protecting and safeguarding the Jews in the Arab world."(12)

More than a thousand Jews were killed in anti-Jewish rioting during the 1940's in Iraq, Libya, Egypt, Syria and Yemen.(13) This helped trigger the mass exodus of Jews from Arab countries.

Also Read Here

Pole sana, Inaelekea hujui kinachotokea au kwa kusudi umeamua kufumbia Macho uovu unaofanywa na Waarabu.
 
Wayahudi wanabana wee iko siku watatoa...ngoja uncle Sam (US) achoke
Ataketi kwa heshima na ndugu (binamu/kaka) yake mwaarabu
Hata siyo siku nyingi sana, hawana lolote ubaguzi, know much, misifa, na jeuri za kijinga zinawasumbua kwa sasa
Wataachia hako kainchi wenyewe usicheza na imani ya kweli mkuu

Dont worry, It will not happen in your lifetime.
Hiyo Imani ya kweli ni ipi unayoizungumzia? na Imani ya uongo ni ipi?
 
Back
Top Bottom