Jordan Badala Ya Kuwasaidia Gaza Anamsaidia Israel

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
10,596
Reaction score
13,980
Hi nchi ni ya kisenge kweli na wananchi wake walivyo wajinga wanakubali mfalme huyo angushe Missiles na Drones za Iran. Kule Gaza anazuia mpaa vyakula visiende. Wakati Al Houthi wamezuia Meli zinazo enda Israel yeye anapitisha vyakula kwenda Israel.

Je Jordan ni warabu au Wayahudi? Vipi mkubali mfalme wenu afanye ujinga huo.

Iran hebu wasukumie Missiles hao hata 10 tu zinawatosha washike adabu zao.

Angalieni Helicopter ya Jordan inafatilia Drones za Iran kuziangusha, hivi huyu mfalme kweli ni Muislam?

View: https://youtube.com/shorts/wrrwU5Mxrho?si=H3S2WEavoYS3zem7
 
Hi nchi ni ya kisenge kweli na wananchi wake wakivyo wajinga wanakubali mfalme huyo angushe Missiles na Drones za Iran. Kule Gaza anazuia mpaa vyakula visiende. Wakati Al Houthi wamezuia Meli zinazo enda Israel yeye anapitisha vyakula kwenda Israel.

Shida kubwa ya Mashariki ya kati ni watu kuwa na mentality kama zako ambazo zinasukumwa na UDINI na race
Yaani unataka Jordan LAZIMA iunge mkono Iran kwasababu tu ni Waislam wenzao

Uchumi sasa hivi unaangalia kwanza upande wako badala ya kupoteza muda uhai na usalama wako kisa eti unamtetea muislam mwenzako

Huu ujinga huwezi kuukuta kwenye dini au race zingine zaidi ya uislam na uarabu

Hivi unadhani akina Misri ni wajinga sana kuendelea na mambo yao as if pale Gaza kila kitu kipo sawa?

Kila mtu ana haki ya kuchagua upande ana ona una manufaa zaidi kwake kuliko kuchagua zahama ambayo hata haikuhusu kisa tu ni muislamu au muarabu mwenzako
 
Hi nchi ni ya kisenge kweli na wananchi wake wakivyo wajinga wanakubali mfalme huyo angushe Missiles na Drones za Iran. Kule Gaza anazuia mpaa vyakula visiende. Wakati Al Houthi wamezuia Meli zinazo enda Israel yeye anapitisha vyakula kwenda Israel.

Je Jordan ni warabu au Wayahudi? Vipi mkubali mfalme wenu afanye ujinga huo.

Iran hebu wasukumie Missiles hao hata 10 tu zinawatosha washike adabu zao.

Angalieni Helicopter ya Jordan inafatilia Drones za Iran kuziangusha, hivi huyu mfalme kweli ni Muislam?

View: https://youtube.com/shorts/wrrwU5Mxrho?si=H3S2WEavoYS3zem7

Unaijua historia ya Jordan na Israel?
 
Hisia zimekutawala na chuki kwa Taifa teuleee ,nenda kawasadie Makobasi wenzakooo hukoo
 
H

History gani hawana uhusiano wowote wakidamu kuliko Palestina. Wao walitakiwa wawasaidie wa Palestina sio kuwasaidia waisrael
Hahahaha naona umepandwa jazba baada ya kuona hakuna impacts hasi kwa Yahudi baada ya Iran kurusha mapipa yake kiholela.
 
Mfalme wa Jordan ana chembe chembe za kiyahudi ndio unaona kimya then Irani anataka kupindua Sunni asimamishe Shia ndio maana hata nchi nyingi hazimpi Support
 
Mlidanganywa mtapewa mito ya pombe na mabikra 72 kwa kutukana wengine?
Hizo nyimbo ziko kanisani na mashoga wenzenu walio tunga fake hadith kwenye Uislam hakuna hizo hadith wala kwenye Qur'an nyie endeleni kujifurahisha na hizo kanga zenu.

Leo mtaipata Missiles 2000 zinakuja fumua mashoga wenzenu watabaki kwenye mashimo tu.
 
Hahahaha naona umepandwa jazba baada ya kuona hakuna impacts hasi kwa Yahudi baada ya Iran kurusha mapipa yake kiholela.
Hahahahaha wakanisa mnachekesha sana mashoga wenzenu wanalia huko wanasema Iran anapigana vita hawajawahi kuona na wanawarushia kwanza drones afu zile Missiles za zamani afu vinakuja vyomba vyenye speed za 14/16/18 hakuna Air defense inaweza kuziangusha hahaha.

Huoni Europe yote wanataka kwenda msaidia Israel bada ya baba yao USA kushindwa kuzuia hizo Missiles.
 
Back
Top Bottom