nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
- Thread starter
- #21
hata wewe unakaribishwa kama ni mpenzi wa hizo riwaya.Nimefungua faster kumbe sihusiki, ngoja wenye majina tajwa waje.
hata wewe unakaribishwa kama ni mpenzi wa hizo riwaya.Nimefungua faster kumbe sihusiki, ngoja wenye majina tajwa waje.
karibu sanaYaaap nitavitafuta! Aisee
mimi si mpenzi mimi ni mshabiki tu, nadhani hao ulo wa mention ndo wapenzi.hata wewe unakaribishwa kama ni mpenzi wa hizo riwaya.
WEWE TU...nawezaa kuvipata leo?
MIKONONI MWA NUNDANunda cjui nn vile nshakisahau kile vp
KIPONunda cjui nn vile nshakisahau kile vp
YES WE DO. KUHUSU ELVIS MUSIBA SIJAFANIKIWA KUKUTANA NA WATOTO WAKE KUJUA KAMA WANA MPANGO GANI NA HIVYO VITABU.nameless girl, shukran kwa habari hizi njema. Vipi unafanya physical deliveries? Na vile vya Elvis Musiba e.g.Kifo cha Kisasi hamjaanza kutoa? Je, mna mpango wa kuvitoa?
bado tupo kwenye mchakato. nitatoa taarifa kikitoka.Zawadi ya ushindi naweza kukipata vipi?
Yes, mzigo wako unafika bila wasiwasiVipi kuhusu upatikanaji wake? naweza kutuma pesa kweli na mzigo nikapata nikiwa mkoani?
bado hatujatoa. Tukitoa nitaleta taarifa.Zawadi ya ushindi naweza kukipata vipi?
Posta maeneo gani?Posta ni kubwa nameless girl