Habari za mihangaiko wakuu, ninaomba msaada wenu juu ya hii technologia , unajua ni vizuri kujifunza mambo mbali mbali , kuna kaz nimeapply na wamenambia lazma ni jue joomla, sasa naomba japo tutorial, nime google but nataka more clarification kutoka kwa wataalam zaid, hili jukwaa ni zaid ya technologia! Naomba msaada wenu wakuu.