kama unataka kumtumia mtu kwenye simu ni rahisi sana, angalia hatua zifuatazo:-
1. jaza maji lita kumi kwenye ndoo,
2. weka pakiti 3 za chumvi
3.koroga kwa dakika 5.
4.tia simu yako ndani ya ndoo kisha koroga kwa dakika 20.
5. toa simu yako ndani ya maji na ujumbe wako wa jokes/utani utakuwa umepokelewa kwa unayemtumia.
Acheni uwongo Ni hiviii, chukua jokes kama kilo mbili, nyaya 5 vitunguu 2 na usishau pilipili kichaa Kisha kaanga kwa moto WA gesi akiiva mpakue na kumfunga kwenye box na mwisho mtuma kwa mpenzio
Acheni uwongo Ni hiviii, chukua jokes kama kilo mbili, nyaya 5 vitunguu 2 na usishau pilipili kichaa Kisha kaanga kwa moto WA gesi akiiva mpakue na kumfunga kwenye box na mwisho mtuma kwa mpenzio