JOKE: Simba sc yatangazwa bingwa wa Kagame cup 2011 kwamara ya saba!

Hahaaaaaa.......Watani kweli mna kimuhemuhe na game ya kesho......Mpaka mnachapia heading(breaking newa......lol..)Hii naidedicate kwa watani zangu Saint Ivuga, Masuke, Jason bourne, BAK, MTM, zumbemkuu na mishikaki mingine(wanyama) yote......
Huko kuchapia heading kulitokana na hekaheka za kikao kizito cha kuamua mwanaume achukue ndoo!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu, sijui umejificha wapi sasa hivi. Inaonekana ww ndie uliyekata umeme nini?
 
Mtoa mada kaingia mitini japo tulipewa adhabu ya fain,cku chache za maandalizi uanamme we2 mmeuona na 2memtafuna mnyama mzima mzima
 
Hawa jamaa wako hai kweli?
Naona wameingia mitini kiaina au ndio jana walizimia kwenye ambulance iliyokuwa inamulikia kidume kikabidhiwe ndoo?zumbe mkuu,si na wenzako jitokezeni basi kama nyie ni simba kweli?
Paka nyie.
 
Hawa jamaa wako hai kweli?
Naona wameingia mitini kiaina au ndio jana walizimia kwenye ambulance iliyokuwa inamulikia kidume kikabidhiwe ndoo?zumbe mkuu,si na wenzako jitokezeni basi kama nyie ni simba kweli?
Paka nyie.
wataonekana ligi ikianza!1
Nasikia wameanza kutembea usiku kama mabundi!!! Eti wame-appeal goli la Asamoah!!
 
Jamaa kanichekesha saan, anasema Yanga walikuwa wanacheka tu Simba walivyokuwa wanahangaika, jamaa anafaninisha na mtoto wa kike anapokuwa anombwa uroda na kijana yupo sitaki, sitaki huku anasogeza mguu jamaa aweke. Ha ha ha sasa ndo ilikuwa hivyo mwali kachukuliwa na kuvishwa shanga hadharani
 
Back
Top Bottom