cantonna JF-Expert Member Mar 11, 2013 1,120 439 Jul 8, 2016 #1 Wataalamu wa IT na kukusanya mapato kutoka Rwanda wamewasili. ... Joke of the day!
S Sumu JF-Expert Member Nov 5, 2010 6,975 6,119 Jul 8, 2016 #2 Moderator, tusaidie kuipeleka hii jukwaa la utani tafadhali.
cantonna JF-Expert Member Mar 11, 2013 1,120 439 Jul 8, 2016 Thread starter #4 Sumu said: Moderator, tusaidie kuipeleka hii jukwaa la utani tafadhali. Click to expand... Hapa hapa inatosha!!!! Ni utani wenye mantiki ya kisiasa!!! longi mapexa said: mmh hapa kunyonywa tu! Click to expand...
Sumu said: Moderator, tusaidie kuipeleka hii jukwaa la utani tafadhali. Click to expand... Hapa hapa inatosha!!!! Ni utani wenye mantiki ya kisiasa!!! longi mapexa said: mmh hapa kunyonywa tu! Click to expand...
Mtini JF-Expert Member Apr 28, 2011 1,491 2,355 Jul 8, 2016 #6 Wakija kukukadiria kodi hao, unajikuta unakubali kiwango wanachokuambia bila kubargain
Ndengaso JF-Expert Member Jul 18, 2014 7,368 13,231 Jul 8, 2016 #7 Wanatisha! Bora dada zetu wa Bongoland
Bavaria JF-Expert Member Jun 14, 2011 53,097 53,485 Jul 9, 2016 #8 Hiyo system watakayoitengeneza ni balaa