Jokate na Diamond wamaliza bifu, Jokate anasubiri kazi ya Diamond na Kiba

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Mwanadada mrembo na mjasiliamali Jokate Mwegelo leo amemsifia na kumsapoti msanii nyota Diamond Platnumz kwa kutoa kazi nzuri (nyimbo mpya inaitwa kidgo).

Kipitia account yake ya instagram Jokate amempost Diamond huku akitamani Diamond na Ali Kiba ambaye ni mpenzi wake wafanye kazi pamoja.
1468853090669.jpg
 
Hawa watu wanakoendea hizi mambo za mabifu yasiyojulikana chanzo yataisha, siku hizi kina babutale wanasema kuwa hawa jamaa hawana bifu ispokuwa wanafanya hivo kuupa thamani mziki wa kibongo, na babutale alianza kupost insta video inaoneonesha picha za wasanii zilipandikwa ofisini kwa diamond na Alikiba akiwepo km wasanii wenye mchango mkubwa ktk bongo fleva. Zari nae juzi kati kapost caption ya nyimbo ya kiba Aje snapchat kuwa anaipenda. Mwisho wa siku bila hili bifu feki sizani km kiba angekuwa hapo alipofika kwani waga ni msanii aliebweteka sana zamani, hakuwa humble km ilivo leo
 
We jidanganye tu ila hili bifu haliwezi kuisha kirahisi coz mmoja ana mambo ya kike na ushwahili mwingi
 
Hapana me sijidanganyi mkuu ispokuwa huo ndo ukweli, davido na wizkid walikuwa hv hv ila yakaisha na kila mmja ana 50 zake, hili bifu litaisha pale ambapo kiba atakubali kuwa hana kitu cha kuji compare na Diamond, km ilivokuwa kwa davido kukili 2 kuwa wizkid sio msanii wa kulinganishwa nae na hapo ilikuja baada kujinufahisha sana na hilo bifu coz liliwapa show na deal nyingi, ndo km ilivo leo bongo kiba ni msanii wa pili kwa kulipwa hela nyingi kwenye show nyuma ya Diamond kwa ajili tu ya kushindanishwa na Diamond, so utaona ni jinsi gani hili bifu linampa faida kiba

Na kuna kila sababu ya wao kuyamaliza km utafata mtiririko wa matukio, kuanzia Alikiba kumuombea kura chibu, reymond kumtaja kiba, babutale kuonesha video ya picha ya kiba, sallamu kumpost kiba, zari kupost nyimbo ya kiba, and now jokate, ss utahitaji dalili gani ingine ili ujue kwamba hii issue inaenda mwisho

Hao wote wanafanya hayo kwa kupata ruhusa kutoka kwa wahusika, haiwezekani eti zari apost nyimbo ya kiba bila kupatq go ahead kutoka kwa Diamond, pia jokate nae hawezi kupost bila go ahead kutoka kwa kiba, haya mambo ndo km yanayoenda kwa wema na diamond, leo wanapeana support insta ila ilikuwa sio rahisi
 
Wabongo kazi kweli kweli
 
Huyo nae akija kukaribishwa madale atasema katakwa na kujidai anapendwa....mmmmm
 
Back
Top Bottom