Na ni mzee wa kanisa,kiti chake ni cha kwanza mbele,na utasikia kwa haya machache tuwe wacha mungu na tumuogope mungu,huku macho yake yakiwa kama kinyonga akiangalia huku na huku akitabasamu kumbe anawinda totoz
IPP Nouma sana! Anawatafuna taratibu dada zetu!!!