johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,165
- 164,631
Habari kutoka chini ya carpet ktk korido za UVCCM Upanga zinadokeza Jokate atagombea uenyekiti wa UVCCM taifa.Inasemekana hata uteuzi wa juzi kama kaimu katibu wa uhamasishaji ni mkakati wa kumpa uzoefu wa uongozi kabla ya uchaguzi.
Tangu astaafu Dr Nchimbi, UVCCM imekuwa ikiongozwa na wazanzibar ambao kwa nyakati tofauti wamewahi kulalamikiwa kuwa ni wazee wanaopaswa kutumikia Jumuiya ya Wazazi.
Lakini pia inadaiwa UVCCM haijawahi kuongozwa na mwanamke hivyo huu ni wakati mwafaka kwa Jokate kugombea.Jokate anaonekana kama muwakilishi sahihi wa vijana wa kizazi cha sasa wenye weledi na uthubutu.
Je, ataziweza fitna za kisiasa ndani ya UVCCM?!Karibu.