na kwa njia hiyo, kitu na box. Hachomoi, lazima agegedweInawezekana aliapplya akatoswa, sasa anataka kuingia na gia ya manoti.
Hata kama ni collabo si na wewe unachangia, lol!
Ila kiukweli Jokate ni mrembo.
haya bana ..
utuletee stori ukisha kutananae. lolz
huyo sio jokate, ni "MDINDISHAJI"Kwani hiyu ni Jokate?Mbona sikioni kile kidoa chake cha usoni?
@Preta how are you....miss you!!Haiyaaaaaaa........
kwahiyo ndg mundende umeona bora utuamie cc wanajamii kua unataka mapenzi ya jokate au umeambiwa ye hutoa mapenzi kwa wenye pesa?sasa dem anamiliki kampuni na hela kwake cdhani kama ni kigezo mapenzi ni mapenzi sio mpaka utangaze kama ulivyofany nenda zako facebook upeleke mapenzi yako hukowe mtoto am coming this time money itaongea..siwez vumilia mimi loooh..
aaah wapi, .., woga wa bure tu..wataalam tumepitaga kimyakimya!She got class aisee! Vihela vyako bora umnunulie mamako Bajaj au Opa.
View attachment 79274
Maumivu yakizidi muone gfsonwin