tupishe apa na wewe , angekuwq hana akili ungemvulia chupi ? we ndo huna akili nfyuuu
tupishe apa na wewe , angekuwq hana akili ungemvulia chupi ? we ndo huna akili nfyuuu
Kwake yeye hizi ndo akili anazopaswa kuwa nazo mwanamke... kulikuwa na ulazima gani wa kuutangazia umma kwamba anapokuwa na bwana ake chumbani anapenda kukaa uchi... hivi haoni kaka zake akina Constantine wakisoma habari kama hizi involuntarily picha ina-flash vichwani mwao!!!
Ah! Wapi... huna lolote... kuna cku nilikuambia mwaga hints lakini ukachemsha... hebu toa hints sasa... ama hapa hadharani au kule chemba manake inawezekana ikawa kweli!!!i think i know uuuu
Uuum ts not bad kujifunza kiingereza but ungeandika kwa kiswahili hoja yako ingeeleweka zaidi #JustAThoughtWhat's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.
Mwenyewe nimetoka kapa hapo lakini sikushangaa manake sie wengine kidhungu chetu ni cha shule za kata sasa nikadhani labda amepiga kiinglish cha inteneshno skulu ndo maana nikatoka kapa!Uuum ts not bad kujifunza kiingereza but ungeandika kwa kiswahili hoja yako ingeeleweka zaidi #JustAThought
Ah! Wapi... huna lolote... kuna cku nilikuambia mwaga hints lakini ukachemsha... hebu toa hints sasa... ama hapa hadharani au kule chemba manake inawezekana ikawa kweli!!!
Mwenyewe nimetoka kapa hapo lakini sikushangaa manake sie wengine kidhungu chetu ni cha shule za kata sasa nikadhani labda amepiga kiinglish cha inteneshno skulu ndo maana nikatoka kapa!
Mwandiko au sauti? Nishajua unayemfananisha... yule jamaa mbona yupo tu tena inawezekana ukawa karibu na ukweli hata kama itakuwa sio sahihi... nadhani ua smart enough kufanya 1+1 hapo!huo mwandiko wako kuna mtu hapa unafanana nae simuoni siku hzi haki ya mama tena
Mwandiko au sauti? Nishajua unayemfananisha... yule jamaa mbona yupo tu tena inawezekana ukawa karibu na ukweli hata kama itakuwa sio sahihi... nadhani ua smart enough kufanya 1+1 hapo!
Na wewe mwenzangu chako ni cha wapi? cha kiinteneshno au cha akina sie cha "zis izi namba srii!" kama ticha ni mnoko akauliza kwa ukali "whaaaaat?" chap chap unarekebisha "zis is namba frii...!" shida yote ya nini hadi ujing'ate meno kisa tu kulazimisha kuongea kiinteneshno "thrii"umenichekesha bas tu yani